BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wewe akaunti yako haina OTPNataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Ina cvvKwa wewe akaunti yako haina OTP
Kuna sehemu una set malipo Hadi uthibitishe mwenyeweIna cvv
Sawa, ila baadhi ya watu wanasema hizi card za bank siyo salama sana ktk malipo ya online. Member mmoja humu pia kasema baadhi ya bank km CRDB hu-doublize makato. Mimi huwa nalipa kwa kutumia sm (mpesa card) , nilitaka kujaribu na master card.Kuna sehemu una set malipo Hadi uthibitishe mwenyewe
Utapigwa,mi waneniblock crdb online sijui diaspora acc.Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Aliye kudanganya nani? Kuna mtu ukimpa card number na CVV anatoa pesa vizuri tu kama unabisha post card number yako na CVV hapambona ni salama unakwama wapi..?
hata wakipata namba zote mpk cvv kama umeunga na simu kuna no unatumiwa hiyo ndo inathibitisha kuwa umekubali, sasa ndugu wewe huwa unalipaje na hiyo namba kumbuka ina expire ndani ya muda mchache!
Kila kadi inayo, namaanisha ile ukitaka kununua kitu benki inakutumia tarakimu kwenye simu au email ili ukamilishe muamala.Ina cvv
mh! kwahiyo hata kama ninabisha ndo nicheze na akaunti yangu kijinga hivyo...🤣Aliye kudanganya nani? Kuna mtu ukimpa card number na CVV anatoa pesa vizuri tu kama unabisha post card number yako na CVV hapa
Walishawahi kuni double charge, nikafunga kabisa miamala yote ya onlineNdio, Ila CRDB wana double charge sometimes
Usibishe mkuu only Card number na CVV basi mchezo unaisha. Simple task kama unabisha tena tafuta huduma ambayo utaset ukatwe pesa direct kutoka kwenye card automatic mwisho wa mwezi (automatic renewal) afu uone kama kabla ya kukatwa utapewa taarifamh! kwahiyo hata kama ninabisha ndo nicheze na akaunti yangu kijinga hivyo...🤣
huo itakuwa ni mchezo labda unafanywa na bank ama mtu awe amehack na no yako ya simu ili apate ule msimbo hivihivi hakuna kitu!.
HIi ya Paypal inanivutia....Mkuu tueleze utaratibu wa kupata account ua PaypalKila kadi inayo, namaanisha ile ukitaka kununua kitu benki inakutumia tarakimu kwenye simu au email ili ukamilishe muamala.
Ila kwa site kama aliexpress ni salama mkuu ila usipende kuitumia kwenye sites usizojua kama wataka kufanya hivyo ilink na huduma kama paypal ndipo ulipie kule maana wale hawatakuwa na details za kadi yako kwa sababu malipo yatapita paypal. Lakini sites kama amazon, alibaba, ebay naona ni salama
sasa ukifanya hivyo maana yake si umeruhusu mwenyewe tokea awali, hiyo wengine wanafanyaga hata kwenye mahotel ati mtu anaondoka hajalipia unakuta hotel wana access yakunyofoa mpunga wananyofoa!! ila ukiamua kwenda kubadili unabadili na wanashindwa kunyofoa!.Usibishe mkuu only Card number na CVV basi mchezo unaisha. Simple task kama unabisha tena tafuta huduma ambayo utaset ukatwe pesa direct kutoka kwenye card automatic mwisho wa mwezi (automatic renewal) afu uone kama kabla ya kukatwa utapewa taarifa
Hii inakubalika international?Tumia Mastercard ya Tigo hiyo unakuwa unakatwa pale unapolipia hiyo bidhaa na hauweki pesa kwenye Mastercard hadi uwe unalipia kitu