Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

Utapigwa,mi waneniblock crdb online sijui diaspora acc.
Na Mungu mkubwa nilipotaka kuweka mzigo mzuri wa kutosha nikakuta block.
Toka mwaka juzi bado tunaongelea swala lile lile mpk kesho.
Mbaya zaidi bosi wao ananijibu kimasihara tu account iko dormant.
So nianze upya.
Ina maana ile bakshishi ilikuwemo mle ishalambwa yote so nianze upya sitarudishiwa salio langu.
Watz tumelogwa mganga wetu kafa kubbbbbke.
Mzee wa burger za mlenda una vituko.
 
mh! kwahiyo hata kama ninabisha ndo nicheze na akaunti yangu kijinga hivyo...🤣

huo itakuwa ni mchezo labda unafanywa na bank ama mtu awe amehack na no yako ya simu ili apate ule msimbo hivihivi hakuna kitu!.
Sio mchezo, mtu akijua namba yako ya Card, na ile CVV nyuma, anaweza kutumia kadi yako kununua hata gari, ila pesa haitalipwa hadi utumiwe, meseji na usipozuia muamala unafanyika, ni mfumo wa kijinga sana kuruhusu pesa itoke bila password ya siri
 
Unafanyaje kutoruhusu? Mfano mwananzengo amefungua a/c akapewa card yake hajui mambo ya online payment wala mambo ya CVV yaani kadi yake anaiacha tu nyumbani, hapa inakuaje ili mwanafamilia asije akachukua kadi akafanya mambo ya kihuni?
Baadhi ya bank kama crdb ukishapewa kadi yako na ukataka kuruhusu kuitumia kulipia bidhaa online wanakupa form kabisa ujaze ili wairuhusu hiyo card na hii maana yake ni kuwa siku ukijichanganya ionekane ni wewe uliamua mwenyewe.
 
Okay, hii imekaa vizuri ila mie naona wakati meingine ni bora kufungua akaunti moja kwenye bank ambayo haina makato mengi na akaunti hiyo inakuwa na shughuli maalumu ya online na kuchanja tu ukiingia kwenye maduka etc. Mpaka hapo unapokuwa na uzoefu wa haya mambo ndo unaweza ukatumia kwa kadi yoyote
 
Utapigwa,mi waneniblock crdb online sijui diaspora acc.
Na Mungu mkubwa nilipotaka kuweka mzigo mzuri wa kutosha nikakuta block.
Toka mwaka juzi bado tunaongelea swala lile lile mpk kesho.
Mbaya zaidi bosi wao ananijibu kimasihara tu account iko dormant.
So nianze upya.
Ina maana ile bakshishi ilikuwemo mle ishalambwa yote so nianze upya sitarudishiwa salio langu.
Watz tumelogwa mganga wetu kafa kubbbbbke.
Mmhhh. Kvp? Hapo kwenye salio kuliwa lote sijaelewa. Account ikiwa ni dormant haitakiwi itoke pesa yyt hata ya charges. Na incase kuna charges za lazima zimepita wakati ipo dormant mteja anatakiwa arudishiwe.
Hapo utakuwa umepigwa kwa makusudi
 
Hivi akaunti inakuwa dormant isipotumika kwa muda gani maana CRDB naona ndo wana hizi mambo sana za akaunti kuwa dormant. (Mie nilidhani ikiwa na ela wakiwa wanakata makato ya mwezi haiwezi kuwa dormant kumbe sivyo)

Kuna bank kama TCB zamani Post Bank, unaweza ukaisahau akaunt yako lakini ukirudi ni kuiwekea ela mambo yanakwenda
 
According na BOT regulations ni miezi 3. Lkn some Banks zinaset mpk miezi 5 au sita.
Hizo Banks nyengine zinajizima data, lkn ni makosa kuiacha account muda wote huo bola kui turn dormant
 
Back
Top Bottom