Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
NdiyoHii inakubalika international?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoHii inakubalika international?
Kwahiyo wananyofoa wakiwa na taarifa gani? Line yako🤪 au namba yako ya siri? Ujue tu ukiweka taarifa zako card number na cvv kwa matapeli ujue tu wana uwezo wa kunyofoa bila wewe kuzuiasasa ukifanya hivyo maana yake si umeruhusu mwenyewe tokea awali, hiyo wengine wanafanyaga hata kwenye mahotel ati mtu anaondoka hajalipia unakuta hotel wana access yakunyofoa mpunga wananyofoa!! ila ukiamua kwenda kubadili unabadili na wanashindwa kunyofoa!.
babu mi nishaenda mpk dark web kule kuna hackers wamehack hizo card unapewa details zote yani unainunua hiyo account labda dollar 200 halafu hiyo account unakuta ina dollar 700!.. ila ukishaitoa hiyo pesa ukidabwa ni juu yako!.. ila wengi wanaouza hizo account ni fake! kwasababu ni kipengele ati ku hack hizo account system za bank usifikiri zimekaa ki mdebwedo hivyo.
chengine watu wanatoaga details kwenye site fake bila wao kujua mfano unaweza kutumiwa site kwenye email yako kumbe ni fake na ukajaza taarifa zako za bank sasa humo ndo unakuta wanabeba taarifa zako unashangaa mtu analizwa!.
inashauliwa kutotumia password moja kwa akaunti zako sasa mwengine akaunti zote password ni moja hacker akiipata account zako zote kazipata!.
ingekuwa ni rahisi ku hack hizo account babu watu wangelizwa sana! .
haha! nenda kafatilie mchakato tu hata wa kuhack password ukishajua unachukua muda gani halafu ndo uje tubishane huku ukijua si rahisi!!.Kwahiyo wananyofoa wakiwa na taarifa gani? Line yako🤪 au namba yako ya siri? Ujue tu ukiweka taarifa zako card number na cvv kwa matapeli ujue tu wana uwezo wa kunyofoa bila wewe kuzuia
Haihitaji password kutoa pesa kwenye card yako acha ubishihaha! nenda kafatilie mchakato tu hata wa kuhack password ukishajua unachukua muda gani halafu ndo uje tubishane huku ukijua si rahisi!!.
mkuu wanachokifanya ni kupata details zako kwa urahisi na wewe ndo unaweza kuwacholea bila wewe kujua ila kwa kuhack tu huwa ni shughuli inayochukua muda na ni ngumu zaidi kwa mtu anaebadibadili password kila baada ya miezi kadhaa!, ama yule ambae anachanganya no na herufi ama kuweka alama au herufi kubwa na ndogo!.
nenda kafatilie ndo ujue ilivyo ngumu ila sijakataa kwamba hawawezi ku hack wanaweza ila ni ngumu na ndio maana hayo matukio ya kuhack husikii kila siku kwa mwaka unaweza kusikia hata mara tano isifike!.
unafikiri ingekuwa ni rahisi tu account ngapi zingechomolewa fedha babu..?
Husikii mara kwa mara kwasababu watu wanahifadhi card zao. Post card number yako na cvv hapa kama unadhani sio rahisihaha! nenda kafatilie mchakato tu hata wa kuhack password ukishajua unachukua muda gani halafu ndo uje tubishane huku ukijua si rahisi!!.
mkuu wanachokifanya ni kupata details zako kwa urahisi na wewe ndo unaweza kuwacholea bila wewe kujua ila kwa kuhack tu huwa ni shughuli inayochukua muda na ni ngumu zaidi kwa mtu anaebadibadili password kila baada ya miezi kadhaa!, ama yule ambae anachanganya no na herufi ama kuweka alama au herufi kubwa na ndogo!.
nenda kafatilie ndo ujue ilivyo ngumu ila sijakataa kwamba hawawezi ku hack wanaweza ila ni ngumu na ndio maana hayo matukio ya kuhack husikii kila siku kwa mwaka unaweza kusikia hata mara tano isifike!.
unafikiri ingekuwa ni rahisi tu account ngapi zingechomolewa fedha babu..?
najua.. wewe ndo hujui kuchambua taarifa hapo nazungumzia account za kawaida pia.Haihitaji password kutoa pesa kwenye card yako acha ubishi
mimi sio zwazwa nikacheza na moto hivyo!..Husikii mara kwa mara kwasababu watu wanahifadhi card zao. Post card number yako na cvv hapa kama unadhani sio rahisi
kwani ya Voda ina tofauti gani na hio ya tigo?Tumia Mastercard ya Tigo hiyo unakuwa unakatwa pale unapolipia hiyo bidhaa na hauweki pesa kwenye Mastercard hadi uwe unalipia kitu
Embu nitumie CVV na card number nikuoneshe kitumimi sio zwazwa nikacheza na moto hivyo!..
wanalinda wapi kadi kibao nakutana nazo na no naweza kuchukua mpk expire date! ndugu acha ubishi tena wabongo wengi ambavyo hawajui matumizi ya MasterCard ndo hata hawana muda!. leo tu mtu kaniambia nimtumie details za card yake! mkuu tulia kwanza unywe maji sote tunaishi kwenye hii hii dunia unayoishi.
kalale mimi sio bata!..😅Embu nitumie CVV na card number nikuoneshe kitu
Fungua account maalumu kwa ajili ya malipo ya online tu unakua huweki pesa Ila ukitaka nunua kitu tuNataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Yes, unalipia duniani kote iwe mpesa master card au tigopesa. Tengeneza hiyo kisha unahamishia huko hela tu unayotaka kulipa. Kumbuka kuna huduma kama netflix ni za kila mwezi hivyo usiruhusu auto renewal kabisa utakatwa pesa hadi ufurahi.Hii inakubalika international?
Umeshawahi kupata spam emails? Wao wanataka card number na cvv basi, baada ya hapo yajayo yanafurahisha.haha! nenda kafatilie mchakato tu hata wa kuhack password ukishajua unachukua muda gani halafu ndo uje tubishane huku ukijua si rahisi!!.
mkuu wanachokifanya ni kupata details zako kwa urahisi na wewe ndo unaweza kuwacholea bila wewe kujua ila kwa kuhack tu huwa ni shughuli inayochukua muda na ni ngumu zaidi kwa mtu anaebadibadili password kila baada ya miezi kadhaa!, ama yule ambae anachanganya no na herufi ama kuweka alama au herufi kubwa na ndogo!.
nenda kafatilie ndo ujue ilivyo ngumu ila sijakataa kwamba hawawezi ku hack wanaweza ila ni ngumu na ndio maana hayo matukio ya kuhack husikii kila siku kwa mwaka unaweza kusikia hata mara tano isifike!.
unafikiri ingekuwa ni rahisi tu account ngapi zingechomolewa fedha babu..?
Ya voda si hadi uweke pesa kwenye kadi...ya tigo unalipia pesa inakatwa kwenye account ya tigopesakwani ya Voda ina tofauti gani na hio ya tigo?
kwa nyie wazoefu haiwapi stress..ila kwa wale wageni wa malipo mtandaoni alafu kadi ya benki ina kama million 10 au 15 inaleta presha kidogo hasa unaposikia habari za watu kutapeliwa lazima itaingia ubaridi kuhusu mamillion yaliyopo ndani ya account.!Kila kadi inayo, namaanisha ile ukitaka kununua kitu benki inakutumia tarakimu kwenye simu au email ili ukamilishe muamala.
Ila kwa site kama aliexpress ni salama mkuu ila usipende kuitumia kwenye sites usizojua kama wataka kufanya hivyo ilink na huduma kama paypal ndipo ulipie kule maana wale hawatakuwa na details za kadi yako kwa sababu malipo yatapita paypal. Lakini sites kama amazon, alibaba, ebay naona ni salama
Hii inaonekananni nzuri....mana unaongeza salio pale unapotaka kununua tu. Ni salama sanaYes, unalipia duniani kote iwe mpesa master card au tigopesa. Tengeneza hiyo kisha unahamishia huko hela tu unayotaka kulipa. Kumbuka kuna huduma kama netflix ni za kila mwezi hivyo usiruhusu auto renewal kabisa utakatwa pesa hadi ufurahi.
Isipokuwa unaweza futa hizo account na kutengeneza upya na itakuwa kwa details tofauti.
Asante 🙏Kila kadi inayo, namaanisha ile ukitaka kununua kitu benki inakutumia tarakimu kwenye simu au email ili ukamilishe muamala.
Ila kwa site kama aliexpress ni salama mkuu ila usipende kuitumia kwenye sites usizojua kama wataka kufanya hivyo ilink na huduma kama paypal ndipo ulipie kule maana wale hawatakuwa na details za kadi yako kwa sababu malipo yatapita paypal. Lakini sites kama amazon, alibaba, ebay naona ni salama
Bora umwambie mkuuUmeshawahi kupata spam emails? Wao wanataka card number na cvv basi, baada ya hapo yajayo yanafurahisha.
Utakachoweza kufanikiwa tu kama haujaruhusu wewe mwenyewe kadi yako kufanya malipo online hapo itakuwa changamoto. Lkn ukiruhusu inakula mazima.
Unafanyaje kutoruhusu? Mfano mwananzengo amefungua a/c akapewa card yake hajui mambo ya online payment wala mambo ya CVV yaani kadi yake anaiacha tu nyumbani, hapa inakuaje ili mwanafamilia asije akachukua kadi akafanya mambo ya kihuni?Umeshawahi kupata spam emails? Wao wanataka card number na cvv basi, baada ya hapo yajayo yanafurahisha.
Utakachoweza kufanikiwa tu kama haujaruhusu wewe mwenyewe kadi yako kufanya malipo online hapo itakuwa changamoto. Lkn ukiruhusu inakula mazima.