Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

Kwahiyo wananyofoa wakiwa na taarifa gani? Line yako🤪 au namba yako ya siri? Ujue tu ukiweka taarifa zako card number na cvv kwa matapeli ujue tu wana uwezo wa kunyofoa bila wewe kuzuia
 
Kwahiyo wananyofoa wakiwa na taarifa gani? Line yako🤪 au namba yako ya siri? Ujue tu ukiweka taarifa zako card number na cvv kwa matapeli ujue tu wana uwezo wa kunyofoa bila wewe kuzuia
haha! nenda kafatilie mchakato tu hata wa kuhack password ukishajua unachukua muda gani halafu ndo uje tubishane huku ukijua si rahisi!!.

mkuu wanachokifanya ni kupata details zako kwa urahisi na wewe ndo unaweza kuwacholea bila wewe kujua ila kwa kuhack tu huwa ni shughuli inayochukua muda na ni ngumu zaidi kwa mtu anaebadibadili password kila baada ya miezi kadhaa!, ama yule ambae anachanganya no na herufi ama kuweka alama au herufi kubwa na ndogo!.
nenda kafatilie ndo ujue ilivyo ngumu ila sijakataa kwamba hawawezi ku hack wanaweza ila ni ngumu na ndio maana hayo matukio ya kuhack husikii kila siku kwa mwaka unaweza kusikia hata mara tano isifike!.
unafikiri ingekuwa ni rahisi tu account ngapi zingechomolewa fedha babu..?
 
Haihitaji password kutoa pesa kwenye card yako acha ubishi
 
Husikii mara kwa mara kwasababu watu wanahifadhi card zao. Post card number yako na cvv hapa kama unadhani sio rahisi
 
Husikii mara kwa mara kwasababu watu wanahifadhi card zao. Post card number yako na cvv hapa kama unadhani sio rahisi
mimi sio zwazwa nikacheza na moto hivyo!..
wanalinda wapi kadi kibao nakutana nazo na no naweza kuchukua mpk expire date! ndugu acha ubishi tena wabongo wengi ambavyo hawajui matumizi ya MasterCard ndo hata hawana muda!. leo tu mtu kaniambia nimtumie details za card yake! mkuu tulia kwanza unywe maji sote tunaishi kwenye hii hii dunia unayoishi.
 
Embu nitumie CVV na card number nikuoneshe kitu
 
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Fungua account maalumu kwa ajili ya malipo ya online tu unakua huweki pesa Ila ukitaka nunua kitu tu
 
Hii inakubalika international?
Yes, unalipia duniani kote iwe mpesa master card au tigopesa. Tengeneza hiyo kisha unahamishia huko hela tu unayotaka kulipa. Kumbuka kuna huduma kama netflix ni za kila mwezi hivyo usiruhusu auto renewal kabisa utakatwa pesa hadi ufurahi.

Isipokuwa unaweza futa hizo account na kutengeneza upya na itakuwa kwa details tofauti.
 
Umeshawahi kupata spam emails? Wao wanataka card number na cvv basi, baada ya hapo yajayo yanafurahisha.

Utakachoweza kufanikiwa tu kama haujaruhusu wewe mwenyewe kadi yako kufanya malipo online hapo itakuwa changamoto. Lkn ukiruhusu inakula mazima.
 
kwa nyie wazoefu haiwapi stress..ila kwa wale wageni wa malipo mtandaoni alafu kadi ya benki ina kama million 10 au 15 inaleta presha kidogo hasa unaposikia habari za watu kutapeliwa lazima itaingia ubaridi kuhusu mamillion yaliyopo ndani ya account.!
 
Hii inaonekananni nzuri....mana unaongeza salio pale unapotaka kununua tu. Ni salama sana
 
Asante 🙏
 
Umeshawahi kupata spam emails? Wao wanataka card number na cvv basi, baada ya hapo yajayo yanafurahisha.

Utakachoweza kufanikiwa tu kama haujaruhusu wewe mwenyewe kadi yako kufanya malipo online hapo itakuwa changamoto. Lkn ukiruhusu inakula mazima.
Bora umwambie mkuu
 
Unafanyaje kutoruhusu? Mfano mwananzengo amefungua a/c akapewa card yake hajui mambo ya online payment wala mambo ya CVV yaani kadi yake anaiacha tu nyumbani, hapa inakuaje ili mwanafamilia asije akachukua kadi akafanya mambo ya kihuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…