Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.