Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Mwehu kama wewe utajua nini?
 
Kuna mabaloni (pichani) zaidi ya 20 noti yalikutwa ndani kwake baada ya kifo chake.

View attachment 2558558

CAG wa wakati huo alibaini trilioni 1.5 zimechukuliwa na rais.

Rais juzi juzi tu hapa ameutangazia umma kuwa fedha za plea bargaining zinefichwa China kwenye akaunti binafsi. Jiwe alikuwa mwizi
Akawekeza wap mana sioni utajiri wake huyu mwamba
 
Wewe ni mjinga usiyejielewa Kosa la jinai ni nini?Kosa lolote la Jinai linapojitokeza hadharani na Serikali ikakaa kimya bila utaratibu wowote ea Serikali kulishughulikia basi tambua Serikali inahusika 100% bila ushahidi wowote.Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni kosa la Jinai na wala si la madai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.Inasikitisha unapojifanya kipofu na kiziwi kwa mambo yaliyotendeka bayana tena bila kificho enzi Rais Magufuri akiwa Madarakani na Job Ndugai Spika wa Bunge wakati ule,hata Mahakama zilikuwepo wakati huo wa Magufuri,Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwepo wakati huo,je ni hatua gani stahiki zilichukuliwa na serikali yetu ya Tanzania zaidi ya kumvua Tundu Lissu majeruhi ubunge?
Na Leo ni kitu gani kinawazuiya kuchukua hatua? Kwani hizo mahakama nazo zimekufa? Au waliohusika wote nao wamekufa? Au hiyo jinai imekufa na magufuli?
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Hayo siyakuuliza tumezulumiwa wavuvi mo alitekwa lisu kapigwa risasi nakamera zilizinwa bilamtuyoyote kuchukuliwa hatuwa kavuruga uchaguzi nakushangaaa mleta mada umefunua mkia wambwa alafu unauliza hili nitundu lanini unataka sisi tujibu lakunyeaaaaa!!!!
 
Wewe ni mjinga usiyejielewa Kosa la jinai ni nini?Kosa lolote la Jinai linapojitokeza hadharani na Serikali ikakaa kimya bila utaratibu wowote ea Serikali kulishughulikia basi tambua Serikali inahusika 100% bila ushahidi wowote.Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni kosa la Jinai na wala si la madai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.Inasikitisha unapojifanya kipofu na kiziwi kwa mambo yaliyotendeka bayana tena bila kificho enzi Rais Magufuri akiwa Madarakani na Job Ndugai Spika wa Bunge wakati ule,hata Mahakama zilikuwepo wakati huo wa Magufuri,Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwepo wakati huo,je ni hatua gani stahiki zilichukuliwa na serikali yetu ya Tanzania zaidi ya kumvua Tundu Lissu majeruhi ubunge?
We unaejitia mjuzi ...wote unao washutumu hawapo.madara I ani hiyo haki ya shoga mwenzio ikowapi?
 
Me nakupa mifano hai ya watu naowajua

1. Alimpora Gaguma 40billion( alikuta kwa ac ya gachuma kuna hela ya kitosha akamuomba bilion 50 afanyie mirad ya nchi Gachuma alipotaka kugoma akamwbia atampa kesi ya kutaifisha majengo ya shirika la pamba ikiwemo mwanza hotel ambavyo Gachuma alichukuaga vyama vya ushirika vya pamba enzi hizo vilipokufa ikabid gachuma atoe 40 ndo yakaisha ila alinyanyang'anywa hotel
2. Alienda na same case kwa zacharia(mmiliki wa mabus kanda ya ziwa ila jamaa akagoma kitoa hela wakamshika mkewe na kumweka ndani miez kadhaa bado jamaa akashikiria msimamo
Walipoona hakubali wakaaamtumia watu wasiojulikana jamaa mjanja akawapiga risasi ndo ikabid wajitaje kuwa ni usalama(wale mnaokumbuka zacharia alitekwa tarime kilichomokoa ni bastora alificha kwa viatu na akawapiga risasi watekaji baadae ndo ikajulikana walikuwa usalama na zacharia akawekwa ndani

Banaeeh we ni maskin hauna tajir hata mmoja aliye karb yako ili uwe na ushahid kuwa matajir wengi waliokuwa na hela bank waliambiwa wagawane so huwez elewa

Mtu unazungukwa na maskin masaa 24 hujui lolote kuhusu matajir hata ukielezwa mabaya aliyowafanyia matajir huyo Magu wako utabisha so endelea kuwa maskini
Mkuu acha uongo, Mwanza hotel Gachuma ni mpangaji tu.
40bil. Ni dogo sana kwa serikali haiwezi kuteka mtu ety imlazimishe aikopeshe utaratubu wa kukopa upo bayana kwa serikali.
Magufuli alicho kuwa anafanya alikuwa anatuma ma auditors kujua kama pesa unayomiliki inaendana na biashara zako na haufanyi biashara haramu.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Kwani umewahi kuona ushahidi wa Botha alimuua nani au Hittler au hata Idd amini dada anayesemekana alikuwa akibeba wazee na kutupa kwa kuwa hawazalishi, je umewahi kuona ushahidi?

Kwani tukisema Rais wa Marekani amemuua Bin Laden au Sadam Hussein unafikiri maanake ni kwamba Rais alionekana ameshika bunduki au bomu na kuua mtu.

Najaribu kukutoa ujinga kidogo kama ukijibidiisha kuelimika🤷‍♀️
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi!
 
Back
Top Bottom