Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

Wataishia kukupa habari za kina Azoli, Lissu, Akwelina, 1.5b Chato, Dotto and alike. Wakikupa ushahidi nitag.
Ushahidi wa mazingira na demeanor ya mwendazake uko abundantly.
Amini usiamini kama Nchi/serikali ingeamua kuweka tume huru ya kuchunguza na kutoa ripoti, Huyo Mtu amefanya ukatili wa ajabu sana. Alijificha tu kwenye miradi na show off za kuhadaa watu, Lakini alikuwa na ajenda ya kishetani dhidi ya watanzania Fulani.

Kama ulianzisha tume ya makinikia ulishindwaje kuunda tume ya kupotea na kuuawa kikatili kwa Wananchi wako tena katika kipindndi chako?

Pesa za Plea bargaining kama kweli zilikiwq Zina Nia njema, kwanini zikafichwe Nje ya Nchi?
Tuache mengine kama matumizi ya kibabe (mf ununuzi wa ndege) na kesi za uzushi Ili kuangamiza Binadamu wenzio.

Wewe unayetetea hayajakukuta tu, mshukuru MUNGU maana na Wewe Iko siku ungefikiwa!

Ni mpuuzi tu kama huyu niliye mkoti hapa anaweza kutetea!
 
kwani ndege sasa hivi hazinunuliwi?kama kuna fedha ziko china si ziletwe au ndo kiki za wanasiasa waonekane wao ni wema!
 
Wanaotumia neno kupora hawaelewi, niwaeleweshe "alirudisha pesa ya serikali iliyoibwa serikalini" hapo aliiba nini? Angekuwa hai huenda pesa yote ya kifisadi ingerudi serikalini kwa maendeleo ya taifa. RIP baba.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Kweli kabisa !
 
Hivi aliyekuwa Waziri wa Fedha si yupo kwa nini isifunguliwe kesi mahakamani ili tusikie ushahidi kamilifu sio hizi ngonjera za kwenye kijiwe cha kahawa.
Afunguliwe kwa kosa gani wakati mawaziri wote wakati huo walipewa kazi moja tu,ya kusifu na kuabudu.
 
Kwani amesema ni akaunti kwa jina jpm. Usimwite jpm mwizi utakua cheti feki wewe. Kwani nchi ya china imekufa? Si waulize? Kwani hujui viongozi wezi wanaweka fedha zao uswizi na nchi zingine za ulaya? Sisi tunajua mama na hao wahuni fisadi lao moja tu...kumchafua jpm
Makonda na Musiba vyeti feki watendaji wazuri sana wa jpm.
 
▪︎ Plea bargaining ipo kisheria.

▪︎ CAG alikana hakuna hela (1.5T) iliyopotea.

▪︎ Lissu ni speculations zao tu, hakuna established facts zozote mpaka sasa.

▪︎ Mama yao ametuhumu hela zimefichwa China, ajabu pamoja na mamlaka yote aliyonayo hajazirudisha wala kumchukulia yeyote hatua za kisheria... Siasa at its best.

Kwa ufupi hawana ushahidi wowote.
Magufuri alisema atawashughulikia mafisadi cha ajabu muda wote wa utawala wake mafisadi ni CHADEMA na vyombo vya habari isipokuwa TBC,CHANNEL TEN na CLOUDS FM.
 
Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity

Wahenga walisemaakili ni nywele kila MTU anazake.
Huyo anafikiri Idd Amin alivyoitwa muuaji au Putin anavyoitwa muuaji anadhani Putin ndio yupo Huko Ukraine anafanya hayo mauaji.

Hizo ndio Akili za Ndugu zetu. Tuende nao hivyohivyo
 
Mleta mada naona unamsifia jiwe Kwa kufanya ufedhuli na hakuna ushahidi nikwambie unajidanganya Kila kitu kipo uchi na kama unadhani upo smart sana kafukue pembeni yake afu jifanye unajikuna
 
Back
Top Bottom