FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.Hana lolote huyo Mama yenu, nchi imemshinda,wewe ulishawai ona wapi kiongoz anawambia waizi waibe kwa urefu wa kamba yao, Sasa kuna haja gaji ya kuwepo na Takukuru,mahakama na vyombo vingine vya sheria.
Kama upo karibu nae mwambie hii nchi ni yetu sote sio ya wale wanaolamba Asali na vibaraka wake kama wewe.
Kutesa kwa zamu.
Makonda yuko wapi?