Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Yamemkuta sana. Anajitoa ufahamu tuHayajakukuta.
Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacityMUUAJI/SHETANI je alimuua nani?
Kuna mabaloni (pichani) zaidi ya 20 noti yalikutwa ndani kwake baada ya kifo chake.1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe
Ushahid plz tujitahidi kutoa hojankwa mifano na ushahid mana hakuna wa kukugusa,Mama keshajitenga nae anataman ata afukuliwe.Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity
Hivi aliyekuwa Waziri wa Fedha si yupo kwa nini isifunguliwe kesi mahakamani ili tusikie ushahidi kamilifu sio hizi ngonjera za kwenye kijiwe cha kahawa.Kuna mabaloni (pichani) zaidi ya 20 noti yalikutwa ndani kwake baada ya kifo chake.
View attachment 2558558
CAG wa wakati huo alibaini trilioni 1.5 zimechukuliwa na rais.
Rais juzi juzi tu hapa ameutangazia umma kuwa fedha za plea bargaining zinefichwa China kwenye akaunti binafsi. Jiwe alikuwa mwizi
Yamewakuta fisadi, na wazembe tu. Wananchi wote hawajakutwa na shida ila kuona mema matupu kwa magufuli.Hayajakukuta.
Wakiweka ushahidi hapa naomba ni tag maan humu ndani mafisadi wengi sana walishughulikiwa ipasavyo,Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli,nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia,
1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe
2. MUUAJI/SHETANI je alimuua nani?
3. ALIPORA MALI ZA WATU je JPM alipora mali za kina nani na kwa njia gani?tafazal iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke
4. DICTATOR UCHWARA je udictator wake ni upi? Tuwekane sawa iki tujue kwa undani maana kuna watu ukitaja jina la JPM anaweza kukuzaba kibao
Yaani unaita taarifa ya CAG na mheshimiwa rais ngonjera za kijiweni??Hivi aliyekuwa Waziri wa Fedha si yupo kwa nini isifunguliwe kesi mahakamani ili tusikie ushahidi kamilifu sio hizi ngonjera za kwenye kijiwe cha kahawa.
Kwani amesema ni akaunti kwa jina jpm. Usimwite jpm mwizi utakua cheti feki wewe. Kwani nchi ya china imekufa? Si waulize? Kwani hujui viongozi wezi wanaweka fedha zao uswizi na nchi zingine za ulaya? Sisi tunajua mama na hao wahuni fisadi lao moja tu...kumchafua jpmKuna mabaloni (pichani) zaidi ya 20 noti yalikutwa ndani kwake baada ya kifo chake.
View attachment 2558558
CAG wa wakati huo alibaini trilioni 1.5 zimechukuliwa na rais.
Rais juzi juzi tu hapa ameutangazia umma kuwa fedha za plea bargaining zinefichwa China kwenye akaunti binafsi. Jiwe alikuwa mwizi
Mpe huu mfano tu utamtoshaUlitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity
Jiwe hachafuliwi. Alijichafua mwenyeweKwani amesema ni akaunti kwa jina jpm. Usimwite jpm mwizi utakua cheti feki wewe. Kwani nchi ya china imekufa? Si waulize? Kwani hujui viongozi wezi wanaweka fedha zao uswizi na nchi zingine za ulaya? Sisi tunajua mama na hao wahuni fisadi lao moja tu...kumchafua jpm
Hela zimewekwa wapi ?Plea bargaining ipo kisheria.
CAG alikana hakuna hela (1.5T) iliyopotea.
Lissu ni speculations zao tu.
Watakuambia mama amesema kuna hela zimefichwa China, ila ajabu pamoja na mamlaka yote aliyonayo hajazirudisha wala kumchukulia yeyote sheria... Siasa at its best.
Kwa ufupi hawana ushahidi wowote.