Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
tofauti wa fikra upo mkubwa tu ๐Kuna mshangao ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa Ina rasilimali asili lukuki.
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Jee ni kweli kwamba waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka Mabara mengine???
Mimi nadhani bora tu kufikiri kwetu kuko chini kuliko Ushoga. Bora kunya maporini na vichakani kuliko ushoga.Kuna mshangao ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa Ina rasilimali asili lukuki.
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Jee ni kweli kwamba waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka Mabara mengine???
Mapinduzi ya viwanda yalianza uingereza na kuenea ulaya vipi na baadhi ya nchi za asia ambazo tulikaribiana kiuchumi mbn zimetuacha?ndio, ila sio kiasili
ni mazingira uliyokulia
ukilinganisha mweusi aliyekulia nje na aliyekulia africa ni watu wawili tofauti
halafu sababu kubwa ya wao kutuacha ni mapinduzi ya viwanda waliyopitia karne ya 18 huko, sijui kwanini haikutokea huku
na siasa zetu
hapo sasaMapinduzi ya viwanda yalianza uingereza na kuenea ulaya vipi na baadhi ya nchi za asia ambazo tulikaribiana kiuchumi mbn zimetuacha?
Hivi majuzi tuliletewa picha za Watendaji wa Jamiiforums.Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Mimi nadhani bora tu kufikiri kwetu kuko chini kuliko Ushoga. Bora kunya maporini na vichakani kuliko ushoga.
Mzungu atanionea wapi...???hahaha eti waafrika wana, waafrika uwwzo wao, โฆ kwa nini wana na wao, kwa hiyo wewe umejitoa humo? au unafikiri mzungu atakuona wewew siyo mwaafrika ?
Wanaofanya hayo ni watu wenye nia ya kuvuruga mijadala.Siku hizi Kila mada ni Lazima mada kuhusu Ushoga ichomekewe.
Sielewi ni kwa nini??
Mzungu atanionea wapi...???
Ndiyo huku kufikiri kwetu kulivyo. ๐๐๐