Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
 
Kuna mshangao ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa Ina rasilimali asili lukuki.

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Jee ni kweli kwamba waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka Mabara mengine???
tofauti wa fikra upo mkubwa tu 🐒

Mathalani watu weupe,
wanafikiri ushoga ni haki yao ya msingi,

hali ya kuwa Waafrika wanafikiri ushoga ni dhambi, ni uovu, uchafu na ni kinyume na maadili na zaidi sana ni chukizo machoni pa Mungu 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Kuna mshangao ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa Ina rasilimali asili lukuki.

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Jee ni kweli kwamba waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka Mabara mengine???
Mimi nadhani bora tu kufikiri kwetu kuko chini kuliko Ushoga. Bora kunya maporini na vichakani kuliko ushoga.
 
ndio, ila sio kiasili

ni mazingira uliyokulia

ukilinganisha mweusi aliyekulia nje na aliyekulia africa ni watu wawili tofauti

halafu sababu kubwa ya wao kutuacha ni mapinduzi ya viwanda waliyopitia karne ya 18 huko, sijui kwanini haikutokea huku

na siasa zetu
 
Mapinduzi ya viwanda yalianza uingereza na kuenea ulaya vipi na baadhi ya nchi za asia ambazo tulikaribiana kiuchumi mbn zimetuacha?
 
Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Hivi majuzi tuliletewa picha za Watendaji wa Jamiiforums.

Na katika baadhi za picha hizo, alionekana Maxence Mel...akiwafunda watendaji👇
img_20240204_170605_494-jpg.2894121

Je, kwa msingi wa mada hii, unafikiri hawa Watendaji 👇
img_20240204_170605_048-jpg.2894122
ambao wanaonekana wametoka maeneo mengine duniani(wazungu/weupe)... walikuwa wakifikiri nini kuhusu Mwafrika huyo Maxence Melo?

Je, unafikiri walikuwa wanafikiri nini kuhusu uwezo wake ukizingatia nadharia hiyo kwamba Uwezo wake wa kufikiri upo mdogo?
 
hahaha eti waafrika “wana” waafrika uwezo “ wao”, … kwa nini wana na wao, kwa hiyo wewe umejitoa humo? au unafikiri mzungu atakuona wewe siyo mwaafrika ? btw muirani anawapanga wote kuanzia juu mpaka chini, anaamua nani aishi, yupi atumbuliwe na wapi uishi, mkuu atembelee nchi gani vyote anaamua muirani, …
 
Siku hizi Kila mada ni Lazima mada kuhusu Ushoga ichomekewe.

Sielewi ni kwa nini??
 
hahaha eti waafrika wana, waafrika uwwzo wao, … kwa nini wana na wao, kwa hiyo wewe umejitoa humo? au unafikiri mzungu atakuona wewew siyo mwaafrika ?
Mzungu atanionea wapi...???

Ndiyo huku kufikiri kwetu kulivyo. 😔😔😔
 
Toauti; kuna waliovuka evolution, na wengine bado wako kwenye evolution
 
Mkuu simple things mwafrika hawezi kufanya
Mpaka unashangaa mbona ni jambo rahisi hivi
Hebu angalia hata mafundi, unamkuta mzoefu lakini anafanya makosa ya kijinga sana
Lingine hivi msomi anawezaje kunywa juice akasema imetoka Madagascar na inatibu covid ?
 
Back
Top Bottom