Je kuna uwezekano kumaliza chuo na kupata kazi Serikalini kwa mwaka huohuo?

Je kuna uwezekano kumaliza chuo na kupata kazi Serikalini kwa mwaka huohuo?

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Hivi kuna uwezekano wa kumaliza chuo na mwaka huohuo au baada ya mwaka mmoja ukapata ajira tena serikalini.

Hasa kwenye fani ya ualimu na uuguzi?
 
Hakuna bahati ya aina hiyo Leejay. Happy konekshen tu. Kuna jamaa namfaham ndugu yake na mstaafu mzee...... Kakata mwaka mmoja mtaani bro kapata
Kuna marafiki zangu walimaliza hata miezi mi5 haikufika unaskia tu washapata... ila ndo hivyo asije akawa na too much expectations zitamcost
 
Hivi kuna uwezekano wa kumaliza chuo na mwaka huohuo au baada ya mwaka mmoja ukapata ajira tena serikalini.

Hasa kwenye fani ya ualimu na uugu
Hebu faulu uwe Best student Chuoni huwa inapigwa simu moja tu toka serikalini kuwa tunamuhitaji huyo kijana Ofsi ya waziri Mkuu aje aanze kazi maalum hapa ofsini.
 
Back
Top Bottom