Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,480
- 38,367
Uongo uongo hiyo ni uwongo [emoji3][emoji3][emoji445][emoji445]baada ya kumaliza masomo nlipata kazi[emoji445][emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo uongo hiyo ni uwongo [emoji3][emoji3][emoji445][emoji445]baada ya kumaliza masomo nlipata kazi[emoji445][emoji445]
Hebu faulu uwe Best student Chuoni huwa inapigwa simu moja tu toka serikalini kuwa tunamuhitaji huyo kijana Ofsi ya waziri Mkuu aje aanze kazi maalum hapa ofsini.
Sijui amefichwa wapi😪Simuoni Lovie Lady jamani,, yuko wapi sikuizi 😃😃🤔
Kama yupo anaona hiyo tag atakuja🤗Sijui amefichwa wapi😪
Kama ni ualimu masomo yawe ni hesabu na fizikia unatoka mapema.
Hata tudanganye bas kwa kusema tu inawezekana😂Huo ni uongo🤣