Je kuna uwezekano kumaliza chuo na kupata kazi Serikalini kwa mwaka huohuo?

Hebu faulu uwe Best student Chuoni huwa inapigwa simu moja tu toka serikalini kuwa tunamuhitaji huyo kijana Ofsi ya waziri Mkuu aje aanze kazi maalum hapa ofsini.

Ndio best student wanapata.

Kuna binti alikuwa ana gpa kubwa na akawa best female student udsm alimaliza chuo july 2021 na mwaka huo huo akaanza kazi BOT mwezi wa kumi 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…