Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

Mkuu swali lako limenitonesha kidonda. Nimempoteza mama yangu mzazi wiki iliyoisha. Pumzika kwa amani mama angu.

Natamani hata nikufate ulipo. Nakukumbuka sana
Pole sana kiongozi, mwaka umekuwa mgumu sana huu kwa baadhi ya watu.
 
Mkuu Jasmoni Tegga, come up with something please!
What I know is that death has not been, and is not, the ultimate destiny of ALL people. And, better yet, it's not the end of the story. Not all people who have died, and who will die, are doomed forever. ^There is a bright light beyond the dark tunnel^ ^Every dark cloud has a silver lining^ they say.
 
HUU ULIMWENGU HAIJAWAHI KUWA NA MIAKA MAMILIONI
wewe angalia miaka mia tu ilyopita, maendeleo yaliyopatikana kwenye hiyo miaka mia. halafu mtu atuambia miaka milioni sijui nini nini
Chukua tu Miaka ya 80s tanzania tukimiliki redio tu. hakuna simu,hakuna tv na mpaka sasa hivi tumeshuhudia mabadiliko tunayoyaona
Miaka milioni siyo mchezo
 
Hii ni Johnson and Johnson
 
Are you sure!???
 
Sijaona kosa hapo maana mwenye uzi kasema kila mtu adadavue kwa imani yake na kwa brain yake.
mkuu kuna imani ambayo haina reference kweli:?
Imani zina vitabu vyake ,tunategemea tupate ushahidi wa kitabu mkuu
ni hivyo tu
 
Natafuta mantiki ya maelezo yako, lakini where!??? Au nasema uongo ndugu zangu!???

Mantiki ni kwamba maisha yanaendelea tu ,nimetoa mfano wa huyo mtu aliyekufa miaka 1.75 milioni iliyopita,kwahiyo mtu akifa biashara inakuwa imeisha waliobaki wanaendelea kuishi mpaka dunia itakayokuja kucollapse huko mbeleni,lakini dunia nayo ina zaidi ya miaka 4.5Bilions! Sio kila comment ni ya kujibu swali lililoulizwa bali kuweza kuangalia jambo kwenye angle nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…