King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
HUU ULIMWENGU HAIJAWAHI KUWA NA MIAKA MAMILIONI
wewe angalia miaka mia tu ilyopita, maendeleo yaliyopatikana kwenye hiyo miaka mia. halafu mtu atuambia miaka milioni sijui nini nini
Chukua tu Miaka ya 80s tanzania tukimiliki redio tu. hakuna simu,hakuna tv na mpaka sasa hivi tumeshuhudia mabadiliko tunayoyaona
Miaka milioni siyo mchezo
Mkuu ni kweli ulimwengu una zaidi ya miaka mamilioni ,enzi hizo za wakati wao vitu walivyokuwa navyo waliona ni vya kisasa sana,ebu pata picha enzi hizo mtu akiwa na Peugeot 504 au laizon au bugaluu au radio ya mkulima? Soma historia miaka ya 1500 kulikuwa na matycoon wa kutisha ,labda unazungumzia Africa kabla wazungu hawajaanza kuja...usa 1700 huko kuna maendeleo ya kutisha.
Hata haya Ma Range Rover Autobiography au VX V8 Kilimo kwanza au Bugatti wakija vitukuu vyetu wakiyaona watasema ni ya ajabu ajabu(kama sisi tunavyoona sasa comb au mgongo wa chura) wakati kwa kipindi hiki ni hatari kumiliki kama una njaa njaa utayaona tu barabarani.