Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ndiyo maana nikapendekeza Mods waweke options za phone numbers 🙂 ili issue kama hizi tuwe tunazimaliza hapahapa. Au nasema uongo ndugu zangu!? 🙂And this is what has kept me in this thread of dialogue, to share knowledge however different from each other they may look. It perplexes me how or where you may be standing by believing all of the above mentioned beliefs on life after death. I am curious!
I salute your formidable bravery. It is presumptuous & useless, though.
Don't make me laugh this morning!!!Baada ya kiama zitakazokutana ni roho sio miili tena.. Na kwasasa hakuna kutano lolote
unless kama wewe ni kundi la akina Mshana Jr wanaoamini katika uchawi [emoji4]...!Not true kwamba ukizaliwa lazima utakufa, unless kama wewe ni kundi la akina Mshana Jr wanaoamini katika uchawi 🙂
Historicity of resurrection is as real as someone reading these lines.Niambie kipi ni sahihi, umejuaje au hicho unachosema proof yake umeipata wapi.
Mimi naamini roho+mwili unapata kiumbe hai, roho bila mwili hakun kitu, yaani bila mwili I don't exist hata kama roho inaelea huko duniani kama walimwengu mwanavyosema.Mkuu mimi nafahamu kwamba
baada ya roho kuacha mwili mwili huoza, hivyo roho ndio hubaki sehemu mabayo itasubiri kusomewa hukumu yake. Mungu atahukumu roho, ili uweze kuishi milele mwanadamu lazima uwe katikati mfumo wa roho.
Sasa shida inakuja hapa!
-Je siku ya kuhukumiwa mimi nitakua najifahamu kua ndio mimi? (Kumbuka roho ndio inabeba taarifa zako zote/kwenye roho ndio kuna mind ambayo inahusika nawe kujitambua)
-Kama nitajitambua nitawezaje kuishi heaven kwa raha huku wazazi na ndugu zangu wapendwa nimewashuhudia wakienda kuchomwa moto?
-Labda siku hiyo tutakua hatutambuani, kama hatutambuani it means hata mimi sitajitambua. Sasa kama mimi sitajitambua nitajuaje kama ni mimi ndio niko peponi au motoni? (Kumbuka kama nikijitambua sitafurahia kwenda heaven wakati my wife and any of my kids they're suffering in hell)
-Sawa nitajitambua, nitakubali na matokeo ndigu zangu wateseke motoni. Je wale wanawake 70 bikra nitawafaidi vipi wakati mimi nitakua katika mfumo wa roho, roho haiwezi kufanya mapenzi and lastly huko Mungu hawezi kuparuhusu tupafanye danguro. (Kumbuka Mbinguni tutakua kwa mfumo wa roho, sio mwili maana mwili huharibika. Kama tukiwa nao basi hatutoishi huko milele, mwili ni compatible kwa maisha ya Duniani tu
Nani ulimuona akifufuliwa?Historicity of resurrection is as real as someone reading these lines.
Mshana Jr anaamini Life after death duuBaada ya kiama zitakazokutana ni roho sio miili tena.. Na kwasasa hakuna kutano loloteso
Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake.
Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
Kama una imani na dhabihu ya Yesu basi utakuwa na tumaini kwa wapendwa wako waliokufa sababu mtakutana tena.Mkuu swali lako limenitonesha kidonda. Nimempoteza mama yangu mzazi wiki iliyoisha. Pumzika kwa amani mama angu.
Natamani hata nikufate ulipo. Nakukumbuka sana
Kivipi tena???Ndiyo maana nikapendekeza Mods waweke options za phone numbers 🙂 ili issue kama hizi tuwe tunazimaliza hapahapa. Au nasema uongo ndugu zangu!??? 🙂
So ulimwengu hauna mamilioni ya miaka kwa fact ya kimaendeleo yaliyopatikata tanzania kwa miaka mia?HUU ULIMWENGU HAIJAWAHI KUWA NA MIAKA MAMILIONI
wewe angalia miaka mia tu ilyopita, maendeleo yaliyopatikana kwenye hiyo miaka mia. halafu mtu atuambia miaka milioni sijui nini nini
Chukua tu Miaka ya 80s tanzania tukimiliki redio tu. hakuna simu,hakuna tv na mpaka sasa hivi tumeshuhudia mabadiliko tunayoyaona
Miaka milioni siyo mchezo
Mwanadamu alivyo hai ndivyo mnyama yoyote alivyo hai. The only difference ni kwamba mwanadamu ni higher form of creation kwa sababu amekuwa endowed with peculiar mental capacity & intelligence. Issue ya roho na mwili hizo ni FALSE Greek mythology.baada ya roho kuacha mwili mwili huoza, hivyo roho ndio hubaki sehemu mabayo itasubiri kusomewa hukumu yake.
Hii kisaikolojia inaitwa ^Adam's Mindset^ Mzazi wetu wa kwanza aliamini fika kwamba Mungu asingeweza kufanya jambo tofauti au kumuumbia mke mwingine, baada ya Hawa mkewe kula tunda na kuasi. So he, Father Adam, decided to brave the consequences ili afe na mkewe!!! Pathetic!!! How powerful and loving is your GOD!???-Kama nitajitambua nitawezaje kuishi heaven kwa raha huku wazazi na ndugu zangu wapendwa nimewashuhudia wakienda kuchomwa moto?
Acha ubishi Kama wa jiwe Hivi hujui Dunia imepitia civilization ngapi mbaka kufika hapa tulipo?HUU ULIMWENGU HAIJAWAHI KUWA NA MIAKA MAMILIONI
wewe angalia miaka mia tu ilyopita, maendeleo yaliyopatikana kwenye hiyo miaka mia. halafu mtu atuambia miaka milioni sijui nini nini
Chukua tu Miaka ya 80s tanzania tukimiliki redio tu. hakuna simu,hakuna tv na mpaka sasa hivi tumeshuhudia mabadiliko tunayoyaona
Miaka milioni siyo mchezo
Acha mawazo ya kihistoria, vitabu vya shuleni vinakudanganya!! Kumbuka hivyohivyo vitabu haviamini uuumbaji wa mwanadamu,!!Acha ubishi Kama wa jiwe Hivi hujui Dunia imepitia civilization ngapi mbaka kufika hapa tulipo?
Mkuu Dunia hua inabadilika kulingana na majira na nyakati mbali mbali ndio maana Kuna Ile dinosaurs agestone ages,iron ages, Gold ages,
Na nyingine nyingi mbaka Leo tupo grobalization age
Dunia inaenda Kwa hatua na kizazi huja na kupotea mfano Kama hapo golden ages binadamu walikua wanaishi na majitu ya ajabu Kama Manefili,warefai na magiant mengine ya ajabu ajabu ila kizazi Chao kilikua na vurugu mtindo mmoja Hii ndio tunaita zama za vita maana kiumbe aliyekua super na mwenye akili nyingi ni binadamu japo kiumbo alikua mdogo kulinganisha na hao majitu binadamu alikua na uwezo wa kuvumbua zana nzito na kutumia akili kukabilisna na hayo majamaa na ndio still mbaka Leo tunasurvive!
Ni uhalisia huo mkuu, sio blablabla, mimi ni muumini wa maandiko matakatifu yaani Biblia, na ndivyo isemavyo.[emoji23] [emoji23] mkuu acheni blahblah. hivi vitu mnatoa wapi.
tuweke na reference ya kile tunachokileta hapa