Je, kuna uwezekano wa "kureview" amri 10 za Mungu?

Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. AAliongea inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.

Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili yaliyopita ushavunja moja kati ya hizo.

Hivi kwani wanawake hawatamani waume za watu? Kwanin wawe 'exempted' kwenye amri ya 9? Inatakiwa wahusishwe nao.

Hivi kuna haja gani ya kuwa na amri ambazo zinavunjwa mara kwa mara?

Kwanin kusiwe na haja ya kuzipitia upya kuendana na mazingira ya sasa?
Moses mwenyewe alipozidondosha Mungu akuzichora tena!akamwambia atafute supperglue aziunge unge aendelee nazo! Aliongea Mara moja tu.Mungu aongeagi Mara mbili mbili
 
Naomba nikueleweshe kidogo, haitakaa itokee duniani mwanamke akamtamani mume wa mtu kimapenzi, kamwe halipo bali mwanamke anatamani mme wa mtu pesa na mafanikio au mali zake tu, na hapo amri imekataza usitamani mali ya mtu mwingine kwa sababu mali alizonazo huyo mume ni za mtu au mwanamke wake. Ni mwanaume tu anayemtamani mwanamke kimapenzi. Ukitaka kujua uwe maskini na sura yako nzuri kama kuna mwanamke atakutazama, ila nenda kijijini umkute mrembo kapigika kama haujamtamani
 
Leta swali jingine tafadhali! Hili ulilouliza ulishaliuliza tena nikakujibu.
Atheist wa kweli humu ni kiranga tu we huna ulijualo mfuata mkumbo tu, kama umeshindwa kujibu hilo swali lingine wala halina haja.
 
Uelewa wako ni mdogo ndio maana huoni kama nimekujibu.
 
Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.

Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili yaliyopita ushavunja moja kati ya hizo.

Hivi kwani wanawake hawatamani waume za watu? Kwanin wawe 'exempted' kwenye amri ya 9? Inatakiwa wahusishwe nao.

Hivi kuna haja gani ya kuwa na amri ambazo zinavunjwa mara kwa mara?

Kwanin kusiwe na haja ya kuzipitia upya kuendana na mazingira ya sasa?
Kwani mungu ndo nini?
 
Mkuu Bavaria usizini sio amri ya 6 ila ni amri ya 7.

6. Usiue
7.usizini
8.usiibe
9.usimshuhudie jirani yako uongo
10.usitamani nyumba ya jirani yako, mke, mjakazi, mtumwa, ng'ombe, punda wala chochote alichonacho.
 
Shukrani.
 
Back
Top Bottom