Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kijana ukihitaj kureview hizo amri hizo mpya zitaongezeka zaid ya buku.... Simamia hizo hizo tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thisI wonder
Naomba nikueleweshe kidogo, haitakaa itokee duniani mwanamke akamtamani mume wa mtu kimapenzi, kamwe halipo bali mwanamke anatamani mme wa mtu pesa na mafanikio au mali zake tu, na hapo amri imekataza usitamani mali ya mtu mwingine kwa sababu mali alizonazo huyo mume ni za mtu au mwanamke wake. Ni mwanaume tu anayemtamani mwanamke kimapenzi. Ukitaka kujua uwe maskini na sura yako nzuri kama kuna mwanamke atakutazama, ila nenda kijijini umkute mrembo kapigika kama haujamtamani
ha ha ha. sureHii kweli tupu
There is no GOD.
wewe Umejuaje?
Kwasababu hayupo
kwa hiyo nani yupo?
Wewe ndio upo
Acha kuzunguka mbuyu, umejuaje kama hayupo?
Hapa jf kuna mbuyu?
Umejuaje kama hayupo?
Leta swali jingine tafadhali! Hili ulilouliza ulishaliuliza tena nikakujibu.
Atheist wa kweli humu ni kiranga tu we huna ulijualo mfuata mkumbo tu, kama umeshindwa kujibu hilo swali lingine wala halina haja.
Uelewa wako ni mdogo ndio maana huoni kama nimekujibu.
Uelewa wako ni mdogo ndio maana huoni kama nimekujibu.
Interesting!OK, "GREAT THINKER".
mungu simfahamu, namfahamu MunguKwani mungu ndo nini?
mungu simfahamu, namfahamu Mungu
Watu hao wamekamatwa mchana kweupe wakivunja amri ya SITA.Mkuu Bavaria usizini sio amri ya 6 ila ni amri ya 7.
6. Usiue
7.usizini
8.usiibe
9.usimshuhudie jirani yako uongo
10.usitamani nyumba ya jirani yako, mke, mjakazi, mtumwa, ng'ombe, punda wala chochote alichonacho.
Watu hao wamekamatwa mchana kweupe wakivunja amri ya SITA.kwa mujibu wa BIblia, USIZINI ni amri ya 7 sio 6. amri ya 6 ni USIUE! mpaka hapo tayari zilishakuwa reviewed!!
kasome tena Biblia..... hayo unayosema ni baada ya mwanadamu kubadili amri za Mungu, na kuifanya ya 7 kuwa ya 6!Watu hao wamekamatwa mchana kweupe wakivunja amri ya SITA.
Nadhani umeelewa mkuu.
Hahahaha we umequote kwenye magazeti...Watu hao wamekamatwa mchana kweupe wakivunja amri ya SITA.
Nadhani umeelewa mkuu.
Matatizo ya bangi hayamungu simfahamu, namfahamu Mungu
Mkuu piga astaghafirullah tafadhari umuombe Mola wako msamaha kwani agizo la Mungu halibadiliki unless tunazungumzia Mungu tofauti. Hata Yesu (Issa ibn Maryam AS) aliwaambia hakuja kuitengua torati ila kuikamilisha na mfano mmoja wapo wa kuikamilisha ni pale walipo mletea mwanamke mzinzi na kusema kwa sheria yetu ya Mussa (AS) huyo ni mawe hadi afe. Majibu yalikua asiyekua na dhambi aanze kurusha jiwe............moral of the lessonAmri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.
Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili yaliyopita ushavunja moja kati ya hizo.
Hivi kwani wanawake hawatamani waume za watu? Kwanin wawe 'exempted' kwenye amri ya 9? Inatakiwa wahusishwe nao.
Hivi kuna haja gani ya kuwa na amri ambazo zinavunjwa mara kwa mara?
Kwanin kusiwe na haja ya kuzipitia upya kuendana na mazingira ya sasa?
labda ni ruksa,sijui lakini!! ila mimi ninachoamini ni kwamba dhambi ni kile kinachotendeka nje ya amri hizi 10Mbona amri ya usifanye mapenzi kinyume na maumbile (Ushoga) haikuwekwa?
itabidi hizi amri ziEDITiwe iongezwe ya 11 haraka.
ukishavunja si ndo umeshatunga zako ndugu usipende kujiplease kwa kujidanganya mwenyewe.Neno linasema usiongeze wala usipunguze maneno yaliyo ktk kitabu chake huezi fata acha fanya yako utakwenda kumwambia sikuweza kufata kutokana na mazingira ukione cha moto na ndo mana adam alivosema ni huyu mwanamke uliyenipa kanidanganya nini kilitokea?Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.
Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili yaliyopita ushavunja moja kati ya hizo.
Hivi kwani wanawake hawatamani waume za watu? Kwanin wawe 'exempted' kwenye amri ya 9? Inatakiwa wahusishwe nao.
Hivi kuna haja gani ya kuwa na amri ambazo zinavunjwa mara kwa mara?
Kwanin kusiwe na haja ya kuzipitia upya kuendana na mazingira ya sasa?