OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
"Tupu" ...hili neno gumu kidogo.Hii kweli tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tupu" ...hili neno gumu kidogo.Hii kweli tupu
Jitathmin,kabla ya kutoa mada.. We ndio akina Gwanyima. Kweli hizi zama za mwisho.Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.
Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili yaliyopita ushavunja moja kati ya hizo.
Hivi kwani wanawake hawatamani waume za watu? Kwanin wawe 'exempted' kwenye amri ya 9? Inatakiwa wahusishwe nao.
Hivi kuna haja gani ya kuwa na amri ambazo zinavunjwa mara kwa mara?
Kwanin kusiwe na haja ya kuzipitia upya kuendana na mazingira ya sasa?
Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.