a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli mawasiliano ya kule kwa sasa sina ni muda mrefu niliondoka kule,ila ni kijiji cha ndanindani kwenye wilaya moja ya mkoa wa taboraNaweza pata mawasiliano ya hilo eneo mkuu nijue mm nitafanya nn?
Hili ndilo jibu.Waganga huwa wanacheza na saikolojia za wateja wao na kupita humohumo.
Kitendo cha kwenda kwake kuhusu issue yenu tayari anajua mnataka kusikia nini ndiyo maana wote 7 majibu yamefanana.
Mtapoteza muda na pesa bure si ajabu mkapewa masharti ya ajabu mkalikuta hamuyawezi au mko mikononi mwa vyombo vya dola!
Ndiyo ndugu yenu wa kwanza kufa? Mshafukia story imeishia hapo,kupingana na ukweli ni kupoteza muda tu.
Waulize CCM, mbona wameweza kumrudisha Mzee Wasira?
Alilalamika kipanda uso tu na kichwa kwa siku mbili akawa anaaga na maiti ilikua inatoa machozi akiwa anatolewa mochwari
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )
swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.
NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
1)haiwezekani kuwahi kabla hajakatwa ulimi kwa sababu kukatwa ulimi ni tukio la kwanza siku hiyo hiyo ya kwanza alipochukuliwa.Uwezekano wa kurudi upo, ila muwahi kabla hajakatwa ulimi, Kuna wataalam walio na uwezo huo, mtaalamu moja wapo yupo Sengerema( Buchosa) maeneo ya Nyehunge,anaweza kukurudishia mtu wako.
Misukule huwa hawarudishwi bali hutelekezwa na wamiliki kwasababu mbalimbaliHabari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )
swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.
NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
Anzeni na huyo huyo mmojaHabari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )
swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.
NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
Hilo swali nimewahi kumuuliza kuhani na alissma sio kazi rahisi kama tunavyodhani na ili kuweza kumrudisha lazima nyie Wana familia muwe na imani ya juu....Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )
swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.
NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
Kuchukua msukule hawi mchawi Mmoja..ni project ya watu wengi Tena wanaacha shughuli zote wanadeal na Hilo tu Moja...na ni kweli anaakaa nyuma ya mlango..mnapoenda kuaga maiti nae anaakuwa wa mwisho kuaga..mnapotoka makaburini nae wanamchepushia porini...Zamaniiii sana nilipo kuwa naishi kijiji X kulikuwa na hzo story nyingi na vifo vingi.. sasa jinsi ya kuthibitisha kama kweli mtu Wenu kachukuliwa msukule walikuwa wakifanya hivi
1. Katika watu wake wa karibu ambaye marehem alikuwa anamkubali anaenda porini sehem yenye miti mikavu anakaa kimya kwa dakika 5 ukisikia mti mkavu unavunjwa karibu yako basi ujue ni kweli amechukuliwa hizo ni kwa siku 15 za mwanzo.
2. Siku ya msiba unakaa karibu na mtu unaye muhisi ni mchawi wenu ikiwezekana mumkamate kabisa ndani ya masaa 24 kwasababu wanaamini msukule hatoki ndani anakuwa nyuma ya mlango na atatolewa na mchawi wake tu Akikaa muda mrefu ataleta noma na dawa zao zitafeli
3. Huwa wanarudi nyumbani kwao usiku ndani ya siku saba huenda ukasikia unaitwa kwa jina lako alafu mtu humuoni huyo ni kwa mtu wake wa Karibu aliye kuwa anamkubali mwanae sana
Vijiji vyenye wachawi jitahidi sana kuwa na adabu au ukishindwa kula visimati vikuka uwe umewaka muda wote au sali sana