Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Mkuu nina historia ya kuumiza ktk jambo kama lako. Kama mtu kashatoweka ktk ulimwengu huu wa macho yetu, haijalishi amekufa ktk mazingira gani achaneni nae fungeni ukurasa wake! Ni ngumu mno kumludisha, mtauza mali zote na pengine mpaka kufilisika na hatoludi, kama unabishi jaribuni Hilo zoezi unakuja kunipa mlejesho.Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )
swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.
NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
Wewe unatokea Kanda ya ziwa??