Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

Hili ndilo jibu.
 
 
Inasemekana ukiwahi anarudi,
Nimewahi kuona manzi wa chaliangu mmoja mwaka 2004 dodoma (chang'ombe) alirudi na alieleza alikokua na aliokuwa nao,akamtaja huyo bibi aliyekuwa ajiwahifadhi na kwa hasira kali walizokuwa nazo raia wakamfuta yule ajuza
 
Uwezekano wa kurudi upo, ila muwahi kabla hajakatwa ulimi, Kuna wataalam walio na uwezo huo, mtaalamu moja wapo yupo Sengerema( Buchosa) maeneo ya Nyehunge,anaweza kukurudishia mtu wako.
1)haiwezekani kuwahi kabla hajakatwa ulimi kwa sababu kukatwa ulimi ni tukio la kwanza siku hiyo hiyo ya kwanza alipochukuliwa.

2)Na kukatwa ulimi ni tukio la kiroho,ulimi unakatwa kiroho sio physically yani ulimi anakuwa nao unakuwepo ila unaondolewa kukatwa UWEZO WA KUONGEA SIRI ZAO haweze kuongea,yani wanaondoa uwezo wa kuongea.Na hata huko anakokuwa anakuwa anaongea ila lugha tofauti.Tukio la kukatwa ulimi ni la kiroho kitendo kinachofanyika ni kitendo cha imani ya kishirikina sio kukata kwa namna tunayoifikiria ya kawaida.ILA AKIOKOLOEWA akitoka kuzimu atakuwa anaongea lugha tofauti(lugha aliyokuwa anaitumia kule na washirikina) ila akiombewa ataongea tu vizuri ataongea vizuri,na wengine fahamu zikiwarudia wanaongea tu kawaida au wanarudi wakiwa na fahamu zao wanongea lugha ya kawaida tu.ULIMI HAUONDOLEWI physically.

3)msukule anaweza kurudi muda wowote hata baada ya miaka mingi hakuna ukomo wa muda wa kumrudisha msukule.

4)Msukule unaweza ukarudi wenyewe endapo washirikina waliomchukua wakikosea masharti au msukule akapata neema tu ya kurudi mwenyewe au akatoroka au akaachiwa,au Mungu akamtoa huko,au walioko duniani wakamuombea.

KUNA AINA NYINGI ZA MISUKULE
Misukule mingine ni hao wanaotembea barabarani majalalani kama vichaa baadhi yao ni misukule ..nyota zao zimeshachukuliwa..
MSUKULE ni kitendo cha mtu kufichwa hapa hapa duniani anakuwa hajafa ila kafichwa kiroho hapa hapa duniani.AU hata asipofichwa anafanywa KICHAA kama wale wanaozinguka kwwnye majalalani,barabarani baadhi ni aina ya misukule ya watu hiyo.

View: https://youtu.be/YrreqI9rmRc?si=cN7RT-t0uPSJx8k9
 
Misukule huwa hawarudishwi bali hutelekezwa na wamiliki kwasababu mbalimbali
 
Anzeni na huyo huyo mmoja
 
Sikupingi mkuu ila namashaka na imani za walokole.
Yule askofu alievuma sana miaka ya nyuma hapo aliekua anafufua misukule kanisanikwake hajawahi kutuonyesha makaburi waliozikwa hao aliowafufua,wala hatujawahi kuthibitishiwa na ndugu hata majirani wa mtu aliefufuliwa kama kweli alifariki! Cha ajabu huyu askofu sikuhizi kakimbilia bungeni anagongazake meza tu mshahara unaingia.
Kunahuyu mwingine yeye anahubiri dk 10 anauza mafuta na maji,hizi bidhaa zake ukinunua zinafuta madeni ukiwa mgonjwa unapona wachawi hawakurogi kama gesi iliisha inajaa luku ikikata unit zinajijaza miamala ya simu inaingia bila kujua nani kakutumia.
Kibaya zaidi wote wanatumia jina la Yesu,sijui tuwaaminishe vipi watu warudi kwenye imani ya kweli
 
Hilo swali nimewahi kumuuliza kuhani na alissma sio kazi rahisi kama tunavyodhani na ili kuweza kumrudisha lazima nyie Wana familia muwe na imani ya juu....
 
Kuchukua msukule hawi mchawi Mmoja..ni project ya watu wengi Tena wanaacha shughuli zote wanadeal na Hilo tu Moja...na ni kweli anaakaa nyuma ya mlango..mnapoenda kuaga maiti nae anaakuwa wa mwisho kuaga..mnapotoka makaburini nae wanamchepushia porini...
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…