Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

Mkuu nina historia ya kuumiza ktk jambo kama lako. Kama mtu kashatoweka ktk ulimwengu huu wa macho yetu, haijalishi amekufa ktk mazingira gani achaneni nae fungeni ukurasa wake! Ni ngumu mno kumludisha, mtauza mali zote na pengine mpaka kufilisika na hatoludi, kama unabishi jaribuni Hilo zoezi unakuja kunipa mlejesho.

Wewe unatokea Kanda ya ziwa??
 
Alilalamika kipanda uso tu na kichwa kwa siku mbili akawa anaaga na maiti ilikua inatoa machozi akiwa anatolewa mochwari

Hata akirudi huwa wanachukulia na serikali hamtkaa mumuone maisha yenu yote. Huyu nilishuhudia mwanzo mwisho hadi kabuli linafukuliwa ukiangalia azm tv utaniona nikitoa ushuhuda.Achaneni nalo hakuna kitu mtaambulia sijui serikali huwa ina wapeleka wapi hao watu
 
Mcheki Pastor David Mmbaga ,kama kweli anarudi mapema kwa jina la Yesu
 
Mmmh scary!sipendi vitu vya kutishatisha mimi hizo comment nimejuta
 
Mngepeleka mwili kwa dktr utachunguzwa mngepewa sababu ya kifo
 
pale nyuma ya mlango ukirudi kinyumenyume unauona msukule live

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…