Je, kuna uzi ulitaka kuandika kisha ukaghairi na kuachana na kuuandika?

Je, kuna uzi ulitaka kuandika kisha ukaghairi na kuachana na kuuandika?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost.

hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria..

leo ni wasaa wa kuandika nyuzi ambazo ulizifikiria na ukaona haina sababu tena ya kuendelea nayo, nami nyuzi zangu ninazo discard nitakua nazileta hapa hapa
 
Mimi nina nyuzi karibia 20 zipo kabatini nazilia timing nyingine zina miaka mi5 sijazipost Jf , idea , content zipo na picha nimeshadownload ila mvivu kupost , nyingine nachelewa sababu nataka nifanye research zaidi na kusoma ili kujazia Nyama content
 
Yaani Adriz nikukumbuka ile story ya kule jukwaa la sports issue ya TBC dah🤣🤣🤣
 
Barua ya wazi kwa ShesRise_1 ilizaa matunda? Maana nikiisoma huwa naishia kucheka sana ile mistari.
Hii ilinipitaje ? ila sio mbaya ngoja nicheki kwenye VAR kama kweli
images (54).jpeg

images (59).jpeg

IMG_20260712_235922.jpg

Ni kweli , subiri waje kukupa mrejesho iliishaje
 
Mimi nina nyuzi karibia 20 zipo kabatini nazilia timing nyingine zina miaka mi5 sijazipost Jf , idea , content zipo na picha nimeshadownload ila mvivu kupost , nyingine nachelewa sababu nataka nifanye research zaidi na kusoma ili kujazia Nyama content
Mimi nimejaza madafatari mawili (counter book quire four) kwa nyuzi kuntu haswa.

Na ukiona natoa nyuzi jua ni nyepesi, kadri nanvyozidi kutoa ndivyo zinavyozidi kuwa na madini adhimu..

Yeah , that's me 😎.

Back
Top Bottom