Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
We acha tu ila ubongo unateseka sana…utakufa vibaya nakuhurumia🤣
We acha tu ila ubongo unateseka sana…utakufa vibaya nakuhurumia🤣
Ewe ShesRise_1 ukipata akupendaye jaribu hata kumkubalia za uongo na kweli tuhaikuzaa tunda lolote, iliniletea trauma nikawa naingia jf mara moja kwa wiki. ila nashukuru nikakaa sawa
Ngoja nijazie nyamaKwa hiyo utafanyaje Sasa 😅
Niambie kipenzi changu😀Kuna kastori nataka nikupe ucheke kidogo 😝
Mbona sisi wanaume humu hamtuiti haya majina? 😒Niambie kipenzi changu😀
Hujawahi kuitwa ? Pole😢Mbona sisi wanaume humu hamtuiti haya majina? 😒
Ni kweli basi anza wewe kuniita leoHujawahi kuitwa ? Pole😢
haikuzaa tunda lolote, iliniletea trauma nikawa naingia jf mara moja kwa wiki. ila nashukuru nikakaa sawaBarua ya wazi kwa ShesRise_1 ilizaa matunda? Maana nikiisoma huwa naishia kucheka sana ile mistari.
ni mwanzo mzuri realMamyMimi nimependa tu hilo jina lako 😝