chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
utakufa vibaya nakuhurumia🤣Kunanyuzu natamani kuandika kwa ajili ya realMamy ila nikifikiria kuhusu Seran nawaza na big brain ya mdada ShesRise_1 .
bora tumalize miti kwa kutoa noti kuliko longolongo nyingiutakufa vibaya nakuhurumia🤣
Yaani Adriz nikukumbuka ile story ya kule jukwaa la sports issue ya TBC dah🤣🤣🤣Mimi nina nyuzi karibia 20 zipo kabatini nazilia timing nyingine zina miaka mi5 sijazipost Jf , idea , content zipo na picha nimeshadownload ila mvivu kupost , nyingine nachelewa sababu nataka nifanye research zaidi na kusoma ili kujazia Nyama content
haikuzaa tunda lolote, iliniletea trauma nikawa naingia jf mara moja kwa wiki. ila nashukuru nikakaa sawaBarua ya wazi kwa ShesRise_1 ilizaa matunda? Maana nikiisoma huwa naishia kucheka sana ile mistari.
Hii ilinipitaje ? ila sio mbaya ngoja nicheki kwenye VAR kama kweliBarua ya wazi kwa ShesRise_1 ilizaa matunda? Maana nikiisoma huwa naishia kucheka sana ile mistari.
Mimi nimejaza madafatari mawili (counter book quire four) kwa nyuzi kuntu haswa.Mimi nina nyuzi karibia 20 zipo kabatini nazilia timing nyingine zina miaka mi5 sijazipost Jf , idea , content zipo na picha nimeshadownload ila mvivu kupost , nyingine nachelewa sababu nataka nifanye research zaidi na kusoma ili kujazia Nyama content
Kwa hiyo utafanyaje Sasa 😅Kunanyuzu natamani kuandika kwa ajili ya realMamy ila nikifikiria kuhusu Seran nawaza na big brain ya mdada ShesRise_1 .
Kuna kastori nataka nikupe ucheke kidogo 😝utakufa vibaya nakuhurumia🤣
Nilikutana na bwana mdogo mmoja hapo chunya pazuri sijui ndiyo wanasema amepata hela huko hakika madini ni hela ila chunya pazuri sio utani jehanam inatembea duniani .Nilitaka kuandika kuhusu Chunya Pazuri, nikajiskia uvivu aiseee.... ila hii dunia kumbe sijamaliza kuona mengi....🤣View attachment 3627854
Mungu atupe uhai mkuu, dunia inamengi ya kusimulia...🤣Nilikutana na bwana mdogo mmoja hapo chunya pazuri sijui ndiyo wanasema amepata hela huko hakika madini ni hela ila chunya pazuri sio utani jehanam inatembea duniani .
HakikaMungu atupe uhai mkuu, dunia inamengi ya kusimulia...🤣