Je, kuna uzi ulitaka kuandika kisha ukaghairi na kuachana na kuuandika?

Uzi kumjulisha ndugu mbunge wa ENeo ninaloishi tangu mwenge uondoke umeondoka na maji
Mabombani maji hayatoki Hata mwezi siku ukiona maji ni michuzi tu dk 10 yamekatika
 
Hivi kuna mtu alishawahi kuomba PESA yake NSsf kwa njia ya ONLINE na akapata bila kupitia kwa dalali?niliomba ikawa rejected nakoelekea nahisi kutafuta dalali nimpe chake maana sielewi nimekosea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…