Je, kuna wakati Utawala wa Kidikteta unakuwa unafaa kuliko aina yoyote ile ya Utawala?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza.

Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa walikuwa wanaangaliwa kwa ukaribu sana na senate.

Sasa basi, ikitokea dharura, hasa vita kubwa. Maconsular hawa walikuwa wanapewa nguvu ya kidikteta. Walipewa nguvu za kufanya watakavyo kwa manufaa ya nchi, na hata kipindi cha mwaka mmoja ilivyo kawaida kingeweza kuongezwa.

Shule tulikaririshwa tu kuwa demokrasia ni nzuri na udikteta mbaya. Bila ya kujulishwa faida na hasara ya kila moja(Elimu ya mchongo tulipewa).

Sasa, kuna faida zozote za utawala wa kidikteta? ni wakati gani utawala wa kidikteta unafaa zaidi?
 
Wewe udikiteta tumeuonja hatutakaa turudie Tena umetupotezea watu wetu wengi sana mpaka Mungu alipokuja kutuondolea like jiwe Yu wapi Benn Yu wapi mawazo azory gwanda nk
 
Ila ukitazama kwa undani udikteta ni muhimu kwaajiri ya maendeleo. Kwa mfano ukitazama mataifa kama china yanatumia aina hiyo ya uongozi.

Tazama hata US anayejikuta ni baba wa Democracy lakini anawaletea udikteta mataifa mengine madogo madogo yanayokuwa.
 
Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza.

Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa walikuwa wanaangaliwa kwa ukaribu sana na senate.

Sasa basi, ikitokea dharura, hasa vita kubwa. Maconsular hawa walikuwa wanapewa nguvu ya kidikteta. Walipewa nguvu za kufanya watakavyo kwa manufaa ya nchi, na hata kipindi cha mwaka mmoja ilivyo kawaida kingeweza kuongezwa.

Shule tulikaririshwa tu kuwa demokrasia ni nzuri na udikteta mbaya. Bila ya kujulishwa faida na hasara ya kila moja(Elimu ya mchongo tulipewa).

Sasa, kuna faida zozote za utawala wa kidikteta? ni wakati gani utawala wa kidikteta unafaa zaidi?
Udikteta sio mzuri kabisa.
Udikteta maana yake ni kuongoza kinyume na utaratibu uliowekwa. Yaani kuikanyaga katiba inayotambulika Kwa wakati huo. Kiukweli udikteta sio mzuri kabisa.
Kiongozi anapotumia utawala wa namna iyo, Kwa bahati tu unakuta kawanufaisha, ila mengi ni maumivu, hasa pale dikteta akishapata ushetani kama wa Nduli dada.
Sasa why inchi iongozwe Kwa mihemko ya mtu mmoja tu?
Je akili za wengi zilizokaa na kufikilia na kuiunda katiba, hawakuwa na akili kuliko wewe?
Kiongozi mwenye nia, mikakati na maono ya kuleta mabadiriko atayaleta upesi akiongoza Kwa kufata katiba, ko sio udikteta ndo utaleta maendeleo
 
Mkuu Lycaon pictus , ni kweli naunga mkono hoja, nchi zote duniani zilizopata maendeleo ya kweli, zilipitia udikiteta, na amini usiamini, bila JPM kutumia udikiteta, kuna mambo yasinge fanyika!.

Sio kila udikiteta ni udikiteta mbaya, kuna udikiteta mwema unaitwa a benevolent dictatorship, hivyo japo JPM alikuwa dikiteta, alikuwa ni dikiteta mwema na sio dikiteta katili. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! humo nilisema
Wanabodi,

Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi Amini, no way, Magufuli ni dikiteta mwema au dikiteta mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa tulipofika, ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tunamuhitaji mtu kama huyu Magufuli ili mambo yaende!.

Siku zote Watanzania tumekuwa tukilia kuhusu utajiri mkubwa wa rasilimali na maliasili za nchi yetu tulizobarikiwa nazo, huku wajanja wakija na kujiokotea na kujivunia Rasilimali zetu kama shamba la bibi, huku nchi yetu kuendelea kuwa ni nchi masikini huku Watanzania tukiishi kwenye lindi la umasikini uliotopea hivyo tukamlilia Mungu atupatie mkombozi wa kutuokoa na kuliokoa taifa letu.

Hatimaye Mungu kasikia kilio chetu akatupatia mkombozi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuja kutukomboa na kulikomboa taifa letu Tanzania, kutoka kwenye lindi hili la umasikini uliotopea na kuligeuza taifa letu kuwa nchi ya neema, Tanzania ya viwanda, Tanzania tajiri, a donor country, nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

Hitimisho.
Iwe ni kweli Magufuli ni dikiteta, au sio dikiteta, hoja ya msingi ni Tanzania mahali tulipofikia, ili kuondoka hapa kwenda kule tunakopaswa kuwapo, tulihitaji mtu kama Magufuli, watu tukasali kwa kumuomba Mungu atupatie kiongozi bora, kiongozi imara, kiongozi shujaa, hatimaye Mungu akaisikia sala yetu, akakisikia kilio chetu, ndipo akatutumia mkombozi kwa kutupatia Magufuli.

Jumapili Njema.

Paskali
P
 
Kwanza dikteta ni mtu mzalendo anayependa sana nchi yake. Anatamani Kwa muda mfupi nchi ipige hatua kubwa, Yan kufumba na kufumbua kuwe na lami, reli,bandari, stend nk. Yupo radhi kufanya lolote kukamiisha ndoto zake. Atakanyaga Katiba, hatafata Sheria na atalikamata bunge, ataua na kutesa wapinzani , atacontrol vyombo vya habari. Chochote kile ambacho ni kikwazo katika kukamilisha ndoto zake hatakiacha salama.

Pili Kuna muda serikaii inayoshika hatamu inakua legelege sana, inashindwa kukusanya mapato, rushwa na ufisadi uliokithiri, kushuka kwa nidhamu Kwa watumishi wa umma, na uwezo wa wawekezaji wa kigeni wasio na tija, tofati kubwa Kati ya aliyenacho na asiyenacho katika kipindi kama hicho anatakiwa kiongozi imara anayechukizwa Toka moyoni na namna nchi inaendeshwa. Anatakiwa ainyooshe nchi. Kwa mtazamo wangu Tz inatakiwa Kila baada ya awamu kadhaa tunatakiwa kumpata dikteta, nchi inamhitaji sana.

Madikteta hupendwa sana na tabaka la chini la wanyonge na kuchukiwa na middle na upper Kwan class hizo zinataka kufaidi jasho la mnyonge, wao wanaangalia maslahi binafsi kuliko ya taifa.
 
Udikteta sio mzuri kabisa.
Udikteta maana yake ni kuongoza kinyume na utaratibu uliowekwa. Yaani kuikanyaga katiba inayotambulika Kwa wakati huo. Kiukweli udikteta sio mzuri kabisa.
Kiongozi anapotumia utawala wa namna iyo, Kwa bahati tu unakuta kawanufaisha, ila mengi ni maumivu, hasa pale dikteta akishapata ushetani kama wa Nduli dada.
Sasa why inchi iongozwe Kwa mihemko ya mtu mmoja tu?
Je akili za wengi zilizokaa na kufikilia na kuiunda katiba, hawakuwa na akili kuliko wewe?
Kiongozi mwenye nia, mikakati na maono ya kuleta mabadiriko atayaleta upesi akiongoza Kwa kufata katiba, ko sio udikteta ndo utaleta maendeleo
Wakati wa Roma, Senate(Bunge) ndilo lilikuwa linampitisha mtu kuwa dikteta. Alikuwa anakuwa dikteta "Kikatiba." Hivyo kiasili udikteta ni aina ya uongozi tu na wala si uuaji, ubabe na majinq mengine mabaya unaopewa siku hizi. Watu hai waliona kuwa kuna nyakati uongozi wa namna hiyo unafaa.

Unafikiri kuna hali ambazo uongozi wa kidikteta unafaa zaidi?
 
Mkuu Lycaon pictus , ni kweli naunga mkono hoja, nchi zote duniani zilizopata maendeleo ya kweli, zilipitia udikiteta, na amini usiamini, bila JPM kutumia udikiteta, kuna mambo yasinge fanyika!.

Sio kila udikiteta ni udikiteta mbaya, kuna udikiteta mwema unaitwa a benevolent dictatorship, hivyo japo JPM alikuwa dikiteta, alikuwa ni dikiteta mwema na sio dikiteta katili. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! humo nilisema

P

Asanteeeee
 
Paschal wewe ni kigeugeu wakati wa mwenda zake SISI tulipokua tukisema magufuli ni dikteta wewe ulikua busy kusifia na kutunanga vilivyo punguza UNAFIKI msukuma mwenzangu
 
Mkuu MAPITO Mwanza , angalia tarehe za mabandiko yangu haya Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! na Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Jipime wewe ulisema lini!.
Kosa langu ni kuwa mkweli daima, hata dikiteta akifanya mambo mazuri, anasifiwa!. Nilim criticised JPM kwa mambo yaliyohitaji critics na kumsifu kwa mengi, makubwa mazuri aluyoyafanya.

Sawa namhala
 
Mkuu Lycaon pictus , ni kweli naunga mkono hoja, nchi zote duniani zilizopata maendeleo ya kweli, zilipitia udikiteta, na amini usiamini, bila JPM kutumia udikiteta, kuna mambo yasinge fanyika!.

Sio kila udikiteta ni udikiteta mbaya, kuna udikiteta mwema unaitwa a benevolent dictatorship, hivyo japo JPM alikuwa dikiteta, alikuwa ni dikiteta mwema na sio dikiteta katili. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! humo nilisema

P
Lingekua zuri, asingemaind alivoitwa dikteta uchwara. Kumbe kuitwa ivo angejitokeza hadharani na kukubari kuitwa jina ilo.
Udikteta so njia nzuri ya uongozi.
Hoja ni kama ifuatavyo.
1. Huwezi kutenda jambo la kiinchi kama vile la familia. Angalia udikteta katika kununua ndege, ni upuuzi tu.
2. Kuna mawazo mazuri Kwa watu, kuliko kwako. Ndo maana wahenga husema jifunze Kwa kusikiliza sio uongee
 
Sisi binadamu baadhi yetu, sometimes tuko kama wanyama mfano wa mnyama punda, bila mjeledi, haendi!.

Hivyo kuna baadhi ya mambo makubwa ambayo JPM ameyafanya, bila kutumia udikiteta, kamwe yasingefanyika!. Marais karibu wote walioleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, walitumia udikiteta, mfano mzuri ni kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala nchi zao kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa Magufuli alipofikisha, tusingefika bila udikiteta, na hata Samia, lazima afike mahali awe dikiteta ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tukimchekea ngedere, tutayavuna mabua!.
P
 
Hivi kweli aina ya uongozi wa Magufuli ulikuwa ni uongozi wa kidikteta kwamba tunaweza kutumia uongozi wake kama mfano wa aina ya uongozi wa kidikteta? Lakini pia je,ukimtoa Magufuli hao viongozi waliyobaki aina ya uongozi wao ndio mifano ya aina ya uongozi wa kidemokrasia?
 
Lingekua zuri, asingemaind alivoitwa dikteta uchwara. Kumbe kuitwa ivo angejitokeza hadharani na kukubari kuitwa jina ilo.
Udikteta so njia nzuri ya uongozi.
Hoja ni kama ifuatavyo.
1. Huwezi kutenda jambo la kiinchi kama vile la familia. Angalia udikteta katika kununua ndege, ni upuuzi tu.
2. Kuna mawazo mazuri Kwa watu, kuliko kwako. Ndo maana wahenga husema jifunze Kwa kusikiliza sio uongee
Sisi binadamu baadhi yetu, sometimes tuko kama wanyama mfano wa mnyama punda, bila mjeledi, haendi!.

Hivyo kuna baadhi ya mambo makubwa ambayo JPM ameyafanya, bila kutumia udikiteta, kamwe yasingefanyika!. Marais karibu wote walioleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, walitumia udikiteta, mfano mzuri ni kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala nchi zao kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa Magufuli alipofikisha, tusingefika bila udikiteta, na hata Samia, lazima afike mahali awe dikiteta ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tukimchekea ngedere, tutayavuna mabua!.
P
 
Sisi binadamu baadhi yetu, sometimes tuko kama wanyama mfano wa mnyama punda, bila mjeledi, haendi!.

Hivyo kuna baadhi ya mambo makubwa ambayo JPM ameyafanya, bila kutumia udikiteta, kamwe yasingefanyika!. Marais karibu wote walioleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, walitumia udikiteta, mfano mzuri ni kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki and the like, hawa wote walitawala nchi zao kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, kwa kuzibadili toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu imara wa kutuongoza, hivyo hapa Magufuli alipofikisha, tusingefika bila udikiteta, na hata Samia, lazima afike mahali awe dikiteta ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tukimchekea ngedere, tutayavuna mabua!.
P
Udikteta upi na usababishe mabadiriko yapi ambayo sera ya inchi haiyahitaji?
Jambo lolote zuri alikatazwi na sera Wala katiba. So lipi zuri ulifanye kidikteta Kwa kusigina katiba, likawa la kuleta mabadiriko?
Pengine mim ndo sielewi, ninachoamini jambo lolote zuri likifanywa Kwa njia mbaya, halizai uzuri Bali ubaya.

mf: Magu alifanya lipi zuri ambalo angeshindwa kufanya Kwa kufata katiba. Je kulazimisha matumizi ya fedha za kuhamishia ikulu Dodoma?, Au kulazimisha matumizi ya Kodi za wanainchi kununua ndege bila bajet yoyote iliyojadiliwa bungeni? Au ujenzi wa uwanja wa ndege Chato? Au ujenzi wa nyumba za serikari Dodoma?, Au ujenzi wa soko Kule Dodoma ambalo liko nje ya makazi ya watu?
Jambo zuri alikatazwi, ila shauriana na watu ili ufanye Kwa weledi zaidi.
Yako mengi, ila siamin katika utawala wa kidikteta huku ukijificha kwenye mwamvuli wa UZALENDO, je unadhani mzalendo ni wewe peke Yako?
Kunyamazisha watu ni jambo BAYA, hufanyapo zuri Fanya tu, people with prosperity will appreciate you.
 
Back
Top Bottom