Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani wanavyoburudika na Netflix bila wasi. Unajaribu kuomba password wanakuzungusha, mara "ah, sijui ni ipi" au "mimi sihusiki, kaulize watoto."
Sasa basi, kama kuna mtaalamu humu anayejua mbinu za kutoboa hizi WiFi zilizo na security kali, share maujanja ya kitaalam! kwa wana Ni kweli hizi apps zinazodai kuwa zinahack WiFi ni feki au kuna mbinu sahihi za kitaalam za kuvuka vizuizi?
Naomba wataalamu wa ethical hacking waje hapa watupe mwanga, labda kuna njia halali za kupata internet bure bila kuvunja sheria.
Wadau mpo? Toeni darasa!
Nb. Ulaghai hauruhusiwi.