Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani wanavyoburudika na Netflix bila wasi. Unajaribu kuomba password wanakuzungusha, mara "ah, sijui ni ipi" au "mimi sihusiki, kaulize watoto."
Sasa basi, kama kuna mtaalamu humu anayejua mbinu za kutoboa hizi WiFi zilizo na security kali, share maujanja ya kitaalam! kwa wana Ni kweli hizi apps zinazodai kuwa zinahack WiFi ni feki au kuna mbinu sahihi za kitaalam za kuvuka vizuizi?

Naomba wataalamu wa ethical hacking waje hapa watupe mwanga, labda kuna njia halali za kupata internet bure bila kuvunja sheria.
Wadau mpo? Toeni darasa!

Nb. Ulaghai hauruhusiwi.
 
Kama umeshindwa kupata internet ya kufanya mambo yako kutokana na kikwazo cha gharama basi gharama za ku hack Wifi zinaweza kuwa ni kubwa kuliko bando.

Otherwise ku hack uwe una maanisha local trick kama ile ya ku scan au ku share kupitia device ya mwingine ambaye ame connect hiyo WiFi.

Lakini kwa sasa hivi walau naweza kusema gharama za internet ya unlimited zimekuwa nafuu kidogo.

Ukiwa tu na 110K siku hizi unapata Router yako then nex month unaanza kulipia 70K. Hiyo ni wastani wa 2,300 kwa siku.

Yani kama wewe kwa siku unajiunga GB1 commonly mitandano inauza kwa 2,100 ni wazi kwamba kwa mwezi una spend 63,000.

Kwenye hiyo 63,000 kuna muda unaweza kuunga mara mbili kulingana na matumizi kuzidi.

So ni vyema ukachukua hiyo Router ili uwe flexible zaidi kutumia bila kuwa na mipaka ya kwamba nikifungua app fulani bando litakata.
 
WiFi ya kisasa zinazotumia WPA2&WPA3 kuhack ni mziki mnene sana, kwa kifupo labda router wanayotumia iwe ya zamani au haijafanyiwa settings sawa bado iko kwenye WEP.

Na hata hapo ni swala la kitaalamu zaidi sio kitu ambacho unaweza ukaambiwa fanya abc ukafanikiwa kama wewe haujo deep kidogo.
 
Mkuu Sasa hivi uki bypass mbona Unahack tu vizuri
 
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani wanavyoburudika na Netflix bila wasi. Unajaribu kuomba password wanakuzungusha, mara "ah, sijui ni ipi" au "mimi sihusiki, kaulize watoto."
Sasa basi, kama kuna mtaalamu humu anayejua mbinu za kutoboa hizi WiFi zilizo na security kali, share maujanja ya kitaalam! kwa wana Ni kweli hizi apps zinazodai kuwa zinahack WiFi ni feki au kuna mbinu sahihi za kitaalam za kuvuka vizuizi?

Naomba wataalamu wa ethical hacking waje hapa watupe mwanga, labda kuna njia halali za kupata internet bure bila kuvunja sheria.
Wadau mpo? Toeni darasa!

Nb. Ulaghai hauruhusiwi.
Cyber crime act........
 
fresh graduate wa IT anatumia digrii yake kuwaza anachokiita ni nje ya box. Wenzako wako machinga complex wanafanya repair za motherboard mkuu
 
kudukua WiFi si jambo rahisi kama inavyoaminika na wengi. Vifaa vya kisasa vya WiFi vina usalama wa hali ya juu, kama WPA3, ambavyo vinazuia mbinu nyingi za udukuzi zilizokuwa zikitumika zamani.
Kwa yeyote anayefikiria kuhusu usalama wa mtandao wake wa WiFi, ni vyema kuhakikisha:

Kutumia encryption ya kisasa – Badala ya WEP au WPA, tumia WPA2 au WPA3.

Kuweka nenosiri gumu – Epuka maneno rahisi kama “12345678” au “password”.

Kuzima WPS (Wi-Fi Protected Setup) – WPS ni rahisi kudukuliwa, hivyo ni bora kuizima.
Kufanya updates za firmware – Watengenezaji wa router husasisha mara kwa mara firmware zao ili kuziba mianya ya kiusalama.
Kutumia MAC Filtering – Ingawa si suluhisho kamili, inazuia vifaa visivyoidhinishwa kuunganishwa kwenye mtandao wako.
 
Bypass what? Msibandike tu maneno humu, WPA3 ambayo iko updated haipitiki kwa hack yoyote inayojulikana "known vulnerability"
Mzee WPA3 ni moja ya encryption protocol Bora zaidi ya WiFi lakini haimaanishi kuwa Haina udhaifu wowote, ingawa nakubali Haina known vulnerabilities kam WPA3. Kuna njia kama Dragon blood Attack(incase WPA3 haija configure ipasavyo hacker anaweza kutumia mbinu ya kutry password nyingi hadi apate iliyo sahihi) pia kuna downgrade attack kwenye hii Mr hacker kifaa kinalazimishwa kurudi kwenye WPA 2 alafu anatumia mbinu za zamn kam crack attack kuvunja password kwahiyo bro usijidanganye kama mifumo ya Blockchain inavunjwa kwanini isiwezwkane
 
kudukua WiFi si jambo rahisi kama inavyoaminika na wengi. Vifaa vya kisasa vya WiFi vina usalama wa hali ya juu, kama WPA3, ambavyo vinazuia mbinu nyingi za udukuzi zilizokuwa zikitumika zamani.
Kwa yeyote anayefikiria kuhusu usalama wa mtandao wake wa WiFi, ni vyema kuhakikisha:

Kutumia encryption ya kisasa – Badala ya WEP au WPA, tumia WPA2 au WPA3.

Kuweka nenosiri gumu – Epuka maneno rahisi kama “12345678” au “password”.

Kuzima WPS (Wi-Fi Protected Setup) – WPS ni rahisi kudukuliwa, hivyo ni bora kuizima.
Kufanya updates za firmware – Watengenezaji wa router husasisha mara kwa mara firmware zao ili kuziba mianya ya kiusalama.
Kutumia MAC Filtering – Ingawa si suluhisho kamili, inazuia vifaa visivyoidhinishwa kuunganishwa kwenye mtandao wako.
WiFi zinaguswa bro hapa mtakataa mkijiaminisha hazifikiwi ila zinapigwa fresh. Mbona mifumo ya authentication ipo ila mifumo inadukuliwa? Baadhi ya mifumo ya Blockchain inapigwa bro unadhani WiFi ndio nini isipigwe
 
Back
Top Bottom