Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

WiFi zinaguswa bro hapa mtakataa mkijiaminisha hazifikiwi ila zinapigwa fresh. Mbona mifumo ya authentication ipo ila mifumo inadukuliwa? Baadhi ya mifumo ya Blockchain inapigwa bro unadhani WiFi ndio nini isipigwe
Unajua kitu kinaitwa Open source
 
IT wa tanzania yani unashindwa kudukua mifumo ambayo itakupa pesa wewe unaenda kudukua Wifi ili upate internet kitonga.😂
 
😂 Aise Kuna jamaa kanichek ananiuliza kuhusu WiFi hacking Inbox Sasa bro Mimi sio mtaalam wa mambo ya udukuzi siku mjibu nikasema embu niandike Uzi kwaajili ya huyo jamaa labda wadau humu watamjibu
 
Sasa faida ya kudukua hiyo wifi ukishafanya unaongeza nini ?.
Dukua mifumo ya benk,account za watu,nyaraka na taarifa.
We udukua wifi upate internet free ukitoka hapo unataka udukue account ya insta tena 🤣.
 
Unajua kitu kinaitwa Open source
Open source program source (source code) inakuwa available kwa mtu yeyote kuona, kubadilisha n kusambaA bila vizuizi vya umiliki. Mfano Kuna wakina Linux, telegram nadhani hata openAI
 
nunua hiki kifaa ndio kazi yake
IMG_0834.jpeg
 
Sasa faida ya kudukua hiyo wifi ukishafanya unaongeza nini ?.
Dukua mifumo ya benk,account za watu,nyaraka na taarifa.
We udukua wifi upate internet free ukitoka hapo unataka udukue account ya insta tena 🤣.
😂 Sometimes bro ndio hivyo ila sikuwa na Cha kujibu solution ni kuleta uzi unajua Kuna muda naleta uzi kutokana na maswali nnayo letewa naona solution ni kumpa huyo mtu ajifunze kupitia maonj ya watu wengine
 
Ukitaka kufungua magari ya watu wenye yale magari ambayo wanatumia funguo za wireless na vifaa vingine.
Tena maeneo kama mlimani city na ma bar makubwa unaweza kukuta gari limefunguliwa wameiba ulichoacha kwenye gari.
Ni hivi vifaa ambavyo vinategeshwa makusudi kama jamer kunasa address za funguo pale unapofunga.
IMG_0835.jpeg
IMG_0836.jpeg
 
Habari za muda huu wakuu wa JF!
Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi?
Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani wanavyoburudika na Netflix bila wasi. Unajaribu kuomba password wanakuzungusha, mara "ah, sijui ni ipi" au "mimi sihusiki, kaulize watoto."
Sasa basi, kama kuna mtaalamu humu anayejua mbinu za kutoboa hizi WiFi zilizo na security kali, share maujanja ya kitaalam! kwa wana Ni kweli hizi apps zinazodai kuwa zinahack WiFi ni feki au kuna mbinu sahihi za kitaalam za kuvuka vizuizi?

Naomba wataalamu wa ethical hacking waje hapa watupe mwanga, labda kuna njia halali za kupata internet bure bila kuvunja sheria.
Wadau mpo? Toeni darasa!

Nb. Ulaghai hauruhusiwi.
baada ya ile host kula pin😄
 
Ai
Ukitaka kufungua magari ya watu wenye yale magari ambayo wanatumia funguo za wireless na vifaa vingine.
Tena maeneo kama mlimani city na ma bar makubwa unaweza kukuta gari limefunguliwa wameiba ulichoacha kwenye gari.
Ni hivi vifaa ambavyo vinategeshwa makusudi kama jamer kunasa address za funguo pale unapofunga.View attachment 3269016View attachment 3269017
Aisee
 
Ukishajua namna ya kutumia Linux na tools zake inadukuliwa
Kama unaweza kuwa mzuri zaidi tumia Linux ya Kali linux imetengenezwa mahususi kwa penetration test.

Yani ukikutwa nayo kwenye laptop yako au kompyuta kama wanakushuku nchi za watu.utawaeleza unatumia kwa ajili ya nini 😂
 
Huwa natumia Linux(Ubuntu) mkuu kwasababu mm ni developer alafu Kali haioffer tools nyingi kwaajili ya developement kama Ubuntu
 
Ukitaka kufungua magari ya watu wenye yale magari ambayo wanatumia funguo za wireless na vifaa vingine.
Tena maeneo kama mlimani city na ma bar makubwa unaweza kukuta gari limefunguliwa wameiba ulichoacha kwenye gari.
Ni hivi vifaa ambavyo vinategeshwa makusudi kama jamer kunasa address za funguo pale unapofunga.View attachment 3269016View attachment 3269017
Hizi device na linux zote haziwezi kukupa wifi password iliyofungwa kwa wpa3 ambayo iko ipdated.

Pia wifi haina uhusiano wowote na keyfob za gari keyfob hazitumii wifi ni technolojia tofauti kabisa ambayo ina mapungufu tofauti.
 
umedakia mada.soma mwanzo tulianza nini tumeishia wapi
 
Mada ni kupata access ya wifi ya jirani wewe unakuja na funguo za magari wapi na wapi? Nani kadakia hapo?
 
Back
Top Bottom