Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia.

Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana!

Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari, basi unabaki kusomesha watoto shule, huku unasubiri kifo, imeisha hiyo.

Wakati wenzetu wapo maabara wakitatua matatizo ya Dunia, wengine wakishinda maabara kuhakikisha Dunia inakuwa na teknolojia imara.

Kwahiyo nahisi sisi watu weusi 90% hapa Duniani tumekuja basi tu, ttunachoweza ni ngono tu.
 
Kw

Kwa ngono hakika umewapatia Wahaya. Wao ni katerero na utapeli kwenda mbele
 
Back
Top Bottom