Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

Je bunge linatekeleza majumu yake ipasavyo ya kuisimamia na kuidhibiti serikali?

Nini wajibu wa Bunge la JMT?

Mawaziri wanajibika kwa nani? Wasipowajibika kuna hatua gani za kikatiba? Kama zipo zina mapana ya kuwafanya wawajibike?

Nini haki za wananchi toka kwa serikali/Viongozi?
 
Inayokopa ni Serikali ya Samia, kupitia Mwigulu.
 
Muda ni mwalimu mzuri sana.

Walisema Jpm amekopa sana ila wao hata miaka 5 hawajamaliza lakini tayari wamevunja rekodi za magu.
 
Mawaziri wa fedha waliokua na uchungu na nchi.
Steven Andandangisye Kibona
Edwin Mtei
Amir Jamal
Cleopa Msuya
Mhehe fulani nadhani Mgimba
Dk Mgimwa! Ilimgharimu sana kutokana na siasa chafu!
 
Back
Top Bottom