Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani?

Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia.

Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
 
Nikikumbuka Ashura kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu najikuta nalia Sana.

Mwamba alijitolea nafsi kupitia yeye tumepewa tawfiq/tawfeek the ability to win and succeed na tuna uhakika wa jannah na Firdaus.

Allah mwingi wa rehma amfanyie wepes na kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali.

Mcheki hapo chin mwamba akielekea kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu. The battle of Ashura.

Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

adriz Adiosamigo Makonde plateu Jagina Covax Al-mukheef dronedrake
 
Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani?

Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia.

Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
Ukweli kabisa
 
Nikikumbuka Ashura kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu najikuta nalia Sana.

Mwamba alijitolea nafsi kupitia yeye tumepewa tawfiq/tawfeek the ability to win and succeed na tuna uhakika wa jannah na Firdaus.

Allah mwingi wa rehma amfanyie wepes na kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali.

Mcheki hapo chin mwamba akielekea kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu. The battle of Ashura.

View attachment 3402390

adriz Adiosamigo Makonde plateu Jagina Covax Al-mukheef dronedrake
We siyo ushapata kichaa cha dini kweli
 
Probability
‘Mfano kati ya watoto wa tatu waweza kuta wawili au mmoja

mara chache sana kukuta wote
Chukulia mfano uAlbino

Wazazi wanaweza zaa watoto mchanganyiko
Nazani sababu ya kutotembea na ndgu yako imekaa kiimani zaidi mkuu...

Ishu ya ugonjwa kutokea ni probably kama ulivyosema.. hvo kama haijatokea mambo yanakua powa sana an show show mzeee
 
Kisayansi
Dini ndio sayansi iliyoongoza zamani so ilikua na logic

Siyo magonjwa tu hata kutoa viumbe dhaifu kigenetikia
 
Back
Top Bottom