Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Ukweli kabisaUnajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani?
Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia.
Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
Kama ukoo wenu hauna hayo magonjwaUnajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani?
Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia.
Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
Ok magonjwa au vilema ni vingi hamna ukoo uko pureKama ukoo wenu hauna hayo magonjwa
Je kuambukizana hayo maginjwa ni must au probablyOk magonjwa au vilema ni vingi hamna ukoo uko pure
magonjwa ya kijenetikia
-Magonjwa ya akili
-Magonjwa kurithi
-vilema vya kurithi kama uzeruzeru
-
We siyo ushapata kichaa cha dini kweliNikikumbuka Ashura kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu najikuta nalia Sana.
Mwamba alijitolea nafsi kupitia yeye tumepewa tawfiq/tawfeek the ability to win and succeed na tuna uhakika wa jannah na Firdaus.
Allah mwingi wa rehma amfanyie wepes na kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali.
Mcheki hapo chin mwamba akielekea kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji na uonevu. The battle of Ashura.
View attachment 3402390
adriz Adiosamigo Makonde plateu Jagina Covax Al-mukheef dronedrake
ProbabilityJe kuambukizana hayo maginjwa ni must au probably
Nazani sababu ya kutotembea na ndgu yako imekaa kiimani zaidi mkuu...Probability
‘Mfano kati ya watoto wa tatu waweza kuta wawili au mmoja
mara chache sana kukuta wote
Chukulia mfano uAlbino
Wazazi wanaweza zaa watoto mchanganyiko
KisayansiNazani sababu ya kutotembea na ndgu yako imekaa kiimani zaidi mkuu...
Ishu ya ugonjwa kutokea ni probably kama ulivyosema.. hvo kama haijatokea mambo yanakua powa sana an show show mzeee
kwa maisha yako mpaka unakua ushawahi shuhudia mtoto aliyezaliwa na ndgu wawili...?Kisayansi
Dini ndio sayansi iliyoongoza zamani so ilikua na logic
Siyo magonjwa tu hata kutoa viumbe dhaifu kigenetikia