Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,188
NRNE

Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.

Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?

Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
 
Hao wote uliwatagi hawawezi kukusaidia ni wahuni tu kama wewe mwenyewe
 
OKTOBA TUNATIKI SHWAAA
iko hivi, kuwa karibu na mawasiliano ya mara kwa mara huwa yanaboresha mahusiano, hata ukichapiwa si sana.
huwezi kuhangaika na mtu usiyemuona.
fimbo ya mbali haiui nyoka!
"TELE HAICHUNGULIWI"
 
Back
Top Bottom