Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

NRNE

Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.

Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?

Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Mwee unaona mwenzio anafaidi mgegedo🤣🤣🤣🤣
Wee sii uliamuakuwa sista pambana na hali yako wacha wenzio wale tunda la hiv na uti
 
NRNE

Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.

Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?

Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Binafsi muda mwingi napenda kuwa peke yangu Hata Wana tu sitaki, hata kuna muda nataka kulewa peke yangu ila ndio ngumu sababu vijiwe vyangu vyote Kuna watu nijaowafahamu inakata kishenzi
 
Back
Top Bottom