secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
😁😁Alaaaaah what?
"Inahuzunisha sana"
😁😁Alaaaaah what?
"Inahuzunisha sana"
Nimejibu tayari haha 😀si mmeitwa huku haya jibu swali
Hakuna utakutana na watu uliishi nao mtaa Moja , ulisoma nao ngazi mbalimbali za elimu, wateja uliofanya nao kazi sehemu mbalimbaliWewe unajulikana sana inaonekan
Inatumia umeme itakuwa 😂😂I call it an iron of nose.
Watu ambao hamjaoana, kuonana kimwili hata kwa muda mfupi tu ni kujisogeza karibu na shimo la moto wa milele. Kama kumtazama tu mwanamke kwa kumtamani ni dhambi, sembuse huo uasheratiSasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Ndiyo maana hata kuoana inakuwa ngumu mkiishaanza hizo harakatiWatu ambao hamjaoana, kuonana kimwili hata kwa muda mfupi tu ni kujisogeza karibu na shimo la moto wa milele. Kama kumtazama tu mwanamke kwa kumtamani ni dhambi, sembuse huo uasherati
Akufukuzae akuambii tokaHahaa. Huyo mbona kama ana dalili za majivuno? Sasa akipewa cheo cha Uaskofu itakuwaje?
Yakobo 4:6
“Mungu huwapinga wenye kiburi, huwapendelea wanyenyekevu.”
Mm sijawah kufanya hayo mambo, namsubiri mwanamke wangu sahihi aje tufunge ndoa Ndo Tuanze hayo mambo 😎Binti wa zamani njoo hapa au umekunjwa na Mbaga Jr
Hapo sawa 😄Nimejibu tayari haha 😀
Pia huu mwezi natarajia uanzishe uzi 🙂
hahah [emoji23]Hapo sawa
Kuhusu mimi kuanzisha uzi vuta na kiti ukae kwanza maana kusimama utavunjika miguu
Walaa siogopi watu, basi tu sina cha kunifanya nifungue uzi kwa sasahahah [emoji23]
unaogopa majibu ya wananzengo!
Ukiwahiwa utapona, Chai, huna kazi ya kufanya, NRNE, inasikitisha sana.
Sawa 🙂Walaa siogopi watu, basi tu sina cha kunifanya nifungue uzi kwa sasa
Kuna uwezekano mkubwa wasioane. Huyo jamaa anaweza kumkinai binti na kwenda kuoa mwingine.NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Nimefika 🤣🤣🤣🤣 ndugu yako Mbaga Jr kanikimbia eti namchosha sana 😅Binti wa zamani njoo hapa au umekunjwa na Mbaga Jr
Wee nani kakudanganya wanachakazana 🤣🤣🤣 hujui kuwa wadhungu is gusaring the kutaz of mbususu is giving the protein plus vitamin to the womanNikikaa nikiwaangaliaga naonaga kama wanachakazana na hivi hawajaoana, inasikitisha sana
Mweee demu ukisha mgegeda mara tatu uzuri wote kwishney....hapo sasa ndio unaaza kutumia PFC yako vizuriKuna uwezekano mkubwa wasioane. Huyo jamaa anaweza kumkinai binti na kwenda kuoa mwingine.
Hizo umejitungia hizo 😹😹😹Sawa 🙂
Bora wewe maana nyuzi za sasahivi za ajabuajabu kinoma.
Mara mkewangu havai chupi nifanyeje, jirani anapikia jiko la mkaa analeta moshi sana, shemeji kanisalimia mambo kama vile tunalingana!
INASIKITISHA SANA.