Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

NRNE

Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.

Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?

Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Upendo ni lugha ya maneno na vitendo ukiishia kwenye maneno vinasahaulika.

Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na hawana mambo mengi mtajikuta tu mpo karibu. Japo ni muhimu waingie kwenye agano waache zinaa.
 
Back
Top Bottom