Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Loh! Mimi natamani waoane tu maana wanaendana
Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanyika huko Kigogo, Mburahati, Manzese hadi pembezoni mwa Mabibo ni kuwa uzuri wa mwanamke mbele ya mwanaume hupungua sana au kwisha kabisa mara baada ya mwanaume kupiga kimoja. Ndo maana inashauriwa watu wapeane kwenye ndoa tu.
 
Duh! Mbona hii hatari sana
 
Asante sana mrembo Binti Sayunii kwa kuniita TAJIRI kwenye hili suali lako, kwa ufupi ni kwamba hutegemea na vipato vya wahusika, kwa mfano kwa sisi wenye maisha toleo la kwanza tukiwa karibu hata kwa miaka 10 mfululizo bado mapenzi yatamoga tu. Ila nyinyi wenye hali za chini mkipenda kuwa pamoja kwa muda mrefu itafika mahali mtachokana.
Ipo hivyo.
 
Back
Top Bottom