kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hao wote uliwatagi hawawezi kukusaidia ni wahuni tu kama wewe mwenyeweNRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Mimi sijui jibu lake ndiyo maana nimeuliza nijifunzeKwanini siku hizi JF kuna maswali ambayo majibu yake yapo wazi na yanajulikana?
Unawezaje kumchoka mtu unayempenda?Mnachokana
Nimekuja mimi, enhe unasemaje Chica!Ngoja waje
Ntaanza kukutag wewe mchungajiHao wote uliwatagi hawawezi kukusaidia ni wahuni tu kama wewe mwenyewe
Mm sio mhuni, n mtu mwenye heshima zake mjini hapa, kanisani kwetu Nimepewa cheo cha kukusanya sadaka kuonyesha n kwa namna gani naaminikaHao wote uliwatagi hawawezi kukusaidia ni wahuni tu kama wewe mwenyewe
Kila siku si mtachokana jamaniNdio, bila kusahau kupelekeana moto 🔥
"Inahuzunisha sana"Mm sio mhuni, n mtu mwenye heshima zake mjini hapa, kanisani kwetu Nimepewa cheo cha kukusanya sadaka kuonyesha n kwa namna gani naaminika
Kwangu mm mapenzi hayanichoshi, mke wangu mtarajiwa ajiandae kuliwa Kila siku😎Kila siku si mtachokana jamani
Toa experience yako...Ngoja waje