Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Sipendi kukaa na mpenzi muda mrefu maana nitamla hadi nitammaliza, labda ninaweza kubakisha kichwa tu kwa minajili ya ushahidi.

Waarabu wanasema El fakri.
 
Kwenye urafiki wa kingono utakuwa unamkula hadi kukinahi. Hakuna cha kuwaunganisha zaidi ya ngono so lazima mchokane.

Kama kuna mapenzi yenye future hakuna kuchokana, kwanza unatamani mda ufike aje,.mnaongea, mnapanga na kupangua, then mnaumega mkate na kulala...
 
Nyinyi wanaume si ndiyo mnaongoza kwa kupenda sana ngono, unakuta mwanamke akija kwako kukaa hata siku tatu hizo siku zote unataka uwe unaipiga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…