Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Jpm alivhokuwa anauponda awamu ya kikwete ulikuwa umelala?Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Kama hayupo, ina maana na wewe unaandika haya uki - refer kitu/mtu ambaye hayupo...?Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Upinzani umekosa watu weledi kadiri wanavyozidi kumshambulia Magufuli ndiyo wanajitenga na jamii lakini hawajuiKama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Ngoja nikuulize swali ? Mimi mgagaa na upwa machinga ... unadhani kwanini mpaka wakati huu namtetea MAGU
Unapodai wanamchafuabuna maana gani? Kama wanakuja na story za uongo nitakubaliana na wewe kuwa wanamchafua. Ila kama wanatoa yao ya moyoni sawa na raia wengine huko siyo kumchafua.Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Magufuli amewafanya nini? Hizo haki alizokua anaminya sasa hivi zipo?Nadhan unasumbuliwa na ubinafsi tu na kujipendelea, ingekuwa uko sahihi leo tsingekuwa na uhuru kwan nyere alikuwa na uswahiba na baadhi ya wakoloni, kwa maana yako angeendelea kulipwa kwa kazi aloifanya before kupigania uhuru i.e. hasingekuwa na hasara kama angekaa kimya km wewe
Tofautisha kati ya kuchafuliwa na kusema ukweli.Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Unadhani haya yote yangekua yake kungekua na sabb ya kutumia nguvu kumchafua?
Acheni uongo anaye mshambulia ni ccm wenyeweUpinzani umekosa watu weledi kadiri wanavyozidi kumshambulia Magufuli ndiyo wanajitenga na jamii lakini hawajui
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mchafu hachafuki!!!...hii weka akilini!!....ukiangalia wanao mpenda jiwe ni maskini wenye roho mbaya!!! ambao walikuwa wanafurahia dhurma yakaeKama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Nape yupo Chadema??Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Matajiri wanazaliwa na utajiri au sijakuelew..Mchafu hachafuki!!!...hii weka akilini!!....ukiangalia wanao mpenda jiwe ni maskini wenye roho mbaya!!! ambao walikuwa wanafurahia dhurma yakae
sahihi kabisa na ndi ivo!!! ukizaa mtoto angalia kwenye paji la uso wake kuna siri hiyo!!! hata ukizaa wengine hawatakuwa na utajiri km wa huyu>>>>. mtoto anae dharaulika sana kifamilia, wasiojiweza kimasomo ndo hao hao matajiri wa kesho!Matajiri wanazaliwa na utajiri au sijakuelew..
Ubongo wako uko wazi angalia vizuri.sahihi kabisa na ndi ivo!!! ukizaa mtoto angalia kwenye paji la uso wake kuna siri hiyo!!! hata ukizaa wengine hawatakuwa na utajiri km wa huyu>>>>. mtoto anae dharaulika sana kifamilia, wasiojiweza kimasomo ndo hao hao matajiri wa kesho!
ndo hao hao watakupeleka Hosp. bei mbaya kutibiwa! na kuku lea vyema !!
Akili yako imechafukaKama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.