Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Jpm alivhokuwa anauponda awamu ya kikwete ulikuwa umelala?Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.