Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Jpm alivhokuwa anauponda awamu ya kikwete ulikuwa umelala?
 
Hakuna mtu anayeangaika na Jpm.watu wanazungumza matendo yake.Kwahiyo acha kuchanganya mtu na matendo ya mtu.Matendo ya Jpm yanaweza yakaishi miaka mingi ila Jpm is no more.Kwahiyo watu wanajadili matendo yake mazuri kwa mabaya na hayo yanajadiliwa na wananchi wote wa nchi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli akisifiwa kwa mazuri aliyofanya ccm hushangilia na kupiga vigelegele huwa wanasahau kabisa kuwa ni marehemu
kazi inakuja watu wanaposema mabaya yake hao hao ccm wanaanza kukumbuka kuwa magufuli ni marehemu.
Akili za ccm ni ndogo sana
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Kama hayupo, ina maana na wewe unaandika haya uki - refer kitu/mtu ambaye hayupo...?

Kinachoandikwa au kusemwa ni alama/matokeo mabaya au mazuri ya matendo ya mtu aliyotenda bila kujali yu hai au amekufa...

Labda hujui tu. Kilichokufa na hakipo ni mwili lakini roho ya u - Magufuli is still kicking and living...!!

Reference ni Yesu Kristo. Alikufa kimwili, lakini yeye mwenyewe yuko hai kiroho & anaendelea kufanya kazi kwa namna ileile aliyokuwa anafanya alipokuwa bado akiwa na mwili huu wa udongo...!

The evil spirit of Magufuli ipo na ndiyo hiyo bado inasumbua taifa na watu...
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Upinzani umekosa watu weledi kadiri wanavyozidi kumshambulia Magufuli ndiyo wanajitenga na jamii lakini hawajui

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhan unasumbuliwa na ubinafsi tu na kujipendelea, ingekuwa uko sahihi leo tsingekuwa na uhuru kwan nyere alikuwa na uswahiba na baadhi ya wakoloni, kwa maana yako angeendelea kulipwa kwa kazi aloifanya before kupigania uhuru i.e. hasingekuwa na hasara kama angekaa kimya km wewe
Ngoja nikuulize swali ? Mimi mgagaa na upwa machinga ... unadhani kwanini mpaka wakati huu namtetea MAGU
 
Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Unapodai wanamchafuabuna maana gani? Kama wanakuja na story za uongo nitakubaliana na wewe kuwa wanamchafua. Ila kama wanatoa yao ya moyoni sawa na raia wengine huko siyo kumchafua.

Wanamchafua ni haohao CCM ambao wanabadilisha ideas zake, wanajaribu kurekebisha kazi zake nk.
 
Nadhan unasumbuliwa na ubinafsi tu na kujipendelea, ingekuwa uko sahihi leo tsingekuwa na uhuru kwan nyere alikuwa na uswahiba na baadhi ya wakoloni, kwa maana yako angeendelea kulipwa kwa kazi aloifanya before kupigania uhuru i.e. hasingekuwa na hasara kama angekaa kimya km wewe
Magufuli amewafanya nini? Hizo haki alizokua anaminya sasa hivi zipo?
 
Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Tofautisha kati ya kuchafuliwa na kusema ukweli.
Watu kudai kwann hapakuwa na tender kwenye manunuzi ya ndege ni kumchafua??
Watu kudai zilipipo tel.1.5 ni kumchafua au kusema ukweli?
Kawambie waliokutuma wakuambie cha kuja kuandika tena hapa
 
Kama upinzani tanzania wafuasi wake kina tundu na mboe ndio hawa humu basi CCM ita tawala milele.
Yani hawajui hata njia sahihi ya kujijenga kisiasa nimakelele tuuu yasiyokuwa na tija alie wapa jina la nyumbu he/ she was right to the maximum.

Sasaivi kunawalio jikimbiza wenyewe nje ya nchi bila sababu sasa wanaona aibu kurudi maana wakiulizwa mlikimbia nini watakodoa macho tu kwa aibu.

Sasa wanaona bora kujitoa akili kujaribu kujifanya kama palikuwa na shida kubwa sasa wanaomba nchi isimame tupatane tuombaneradhi sijui kwa upuuzigani iliwakirudi ionekane tatizo limekwisha.
Hovyo sana hii mijitu.
 
Unadhani haya yote yangekua yake kungekua na sabb ya kutumia nguvu kumchafua?

Neno kutumia nguvu ndiyo nini? Hayo mambo yamefanyika kwenye kipindi chake na yalikuwa yanafanywa bila vificho ,haihitajiki nguvu yeyote kuyaeleza ,kipindi cha JIWE hakuna mtu yeyote aliyethubutu kuongea chochote negavite,vyombo vya habari vilionywa vikaambiwa "WATCH IT ,NOT TO THAT EXTENT"....Ona Mwingira alitaka kuuwawa na serikali,Jambazi sabaya alikiri wazi kwamba alikuwa anatumwa na mamlaka ya uteuzi(Simtaji ni nani maana utasema anachafuliwa wakati sabaya katamka mahakamani kwamba alikuwa anatumwa na MTU FURANI).
 
Upinzani umekosa watu weledi kadiri wanavyozidi kumshambulia Magufuli ndiyo wanajitenga na jamii lakini hawajui

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acheni uongo anaye mshambulia ni ccm wenyewe

Maza Narekebisha uchumi uliyoyumba kwanza ndiyo katiba
Bulembo Tuliharibu mahusiano na mataifa kupitia Kabudi
Namengi yanasemwa na ccm wenyewe!!!!
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Mchafu hachafuki!!!...hii weka akilini!!....ukiangalia wanao mpenda jiwe ni maskini wenye roho mbaya!!! ambao walikuwa wanafurahia dhurma yakae
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Nape yupo Chadema??
 
Matajiri wanazaliwa na utajiri au sijakuelew..
sahihi kabisa na ndi ivo!!! ukizaa mtoto angalia kwenye paji la uso wake kuna siri hiyo!!! hata ukizaa wengine hawatakuwa na utajiri km wa huyu>>>>. mtoto anae dharaulika sana kifamilia, wasiojiweza kimasomo ndo hao hao matajiri wa kesho!

ndo hao hao watakupeleka Hosp. bei mbaya kutibiwa! na kuku lea vyema !!
 
Ubongo wako uko wazi angalia vizuri.
Kwa hiyo Magufuli alikuwa ni tajiri au maskini
alikuwa ni mtoto wa aina gani kati ya hao wanaozaliwa na neema au lah!?
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Akili yako imechafuka
 
Back
Top Bottom