Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wakumbusheni kuishi kwa wema wakiwa hai.Wananchi wanayoyatoa ndiyo malipo ya alivyoishi.Msilazimishe mbuzi anywe maji.Kwani alitoa tangazo kwamba ana kiu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawala Wa JPM haukuwa rafiki kwa jamii nzima wakiwemo Wafanyabiashara wakubwa. Kwa hiyo si wapinzani tu wanaousema utawala huo, wapo Wafanyabiashara, wafanyakazi Wa umma, CCM asilia n.k n.k
Swali lako haliko sawia.Halafu nawe mtoa mada anapakwa matope au kuchafuliwa MTU ambaye kila moja anajua yule anachafuliwa,sasa Magufuli kwa matendobyake aliyoyafanya anachafuliwa au anapakwaje matope??
Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Upo na machawa wenzako
wanatumia nguvu kubwa sana kumchafua marehemu ... LEGASI YA MAGUFULI kuivunja ni kazi sana tena sana
Nyumbu ni mama yakoYaani we jamaa hii mada inakuhusu lakin sbb umeamua kuuvaa uhusika wa Nyumbu basi unaunga tu
Hivi mtu kama huyu bado ni mtumishi hawezi kuwajibishwa?Matendo mabaya yanayofanywa kwa binadamu wenzetu hayasahauliki kwenye mioyo ya watu vizazi na vizazi. Ni wajinga wachache wanaopingana na historia kama ya akina Hitler, Idd Amin na wengine kama hao isisimuliwe na watu wakaacha ukatiri.
Nyumbu ni waliokuzaaKwani hujui tabia Na haiba za Nyumbu?
Legacy gani wewe unazungumzia?wanatumia nguvu kubwa sana kumchafua marehemu ... LEGASI YA MAGUFULI kuivunja ni kazi sana tena sana
Mtapaa na nini wewe taga?Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
wanatumia nguvu kubwa sana kumchafua marehemu ... LEGASI YA MAGUFULI kuivunja ni kazi sana tena sana
Ngoja nikuulize swali ? Mimi mgagaa na upwa machinga ... unadhani kwanini mpaka wakati huu namtetea MAGUManeno ya Mch. Mwingira.
Je kati ya aliyepigwa risasi na jizi lililoiba kura kt uchaguzi wa Oct 2020 nani yuko hai??
Jibu, jizi liliishaleftishwa
We subiri 2025 ndiyo watajua hawajui...JPM hadi maiti yake inaongea mpaka leo...Siyo mchezo!Sasa tukimchafua hayati ndio na sisi tutapaa kisiasa?
Unadhani haya yote yangekua yake kungekua na sabb ya kutumia nguvu kumchafua?Legasi ya watu kuuwawa?
Legasi ya wizi wa 1.5T?
Legasi ya kuporomoka kwa uchumi?
Legasi ya kupora fedha wafanyabiashara?
Legasi ya kumfilisi mbowe?
Legasi ya "Biashara ya utumwa" aka kuunga mkono juhudi?
Palikuwa na haja gani sasa kusoma historia za akina Adolf Hitler. Hata kama wame wamekufa matendo yao maovu bado yanaishi na ni funzo kwa wanaoishi.Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.
Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.
Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?
Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.