Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

Wakumbusheni kuishi kwa wema wakiwa hai.Wananchi wanayoyatoa ndiyo malipo ya alivyoishi.Msilazimishe mbuzi anywe maji.Kwani alitoa tangazo kwamba ana kiu?
 
Well spoken
Utawala Wa JPM haukuwa rafiki kwa jamii nzima wakiwemo Wafanyabiashara wakubwa. Kwa hiyo si wapinzani tu wanaousema utawala huo, wapo Wafanyabiashara, wafanyakazi Wa umma, CCM asilia n.k n.k
 
Matendo mabaya yanayofanywa kwa binadamu wenzetu hayasahauliki kwenye mioyo ya watu vizazi na vizazi. Ni wajinga wachache wanaopingana na historia kama ya akina Hitler, Idd Amin na wengine kama hao isisimuliwe na watu wakaacha ukatiri.
 
wanatumia nguvu kubwa sana kumchafua marehemu ... LEGASI YA MAGUFULI kuivunja ni kazi sana tena sana
 
Maneno ya Mch. Mwingira.
Je kati ya aliyepigwa risasi na jizi lililoiba kura kt uchaguzi wa Oct 2020 nani yuko hai??
Jibu, jizi liliishaleftishwa

Hivi mtu kama huyu bado ni mtumishi hawezi kuwajibishwa?
 
wanatumia nguvu kubwa sana kumchafua marehemu ... LEGASI YA MAGUFULI kuivunja ni kazi sana tena sana

Legasi ya watu kuuwawa?
Legasi ya wizi wa 1.5T?
Legasi ya kuporomoka kwa uchumi?
Legasi ya kupora fedha wafanyabiashara?
Legasi ya kumfilisi mbowe?
Legasi ya "Biashara ya utumwa" aka kuunga mkono juhudi?
 
Maneno ya Mch. Mwingira.
Je kati ya aliyepigwa risasi na jizi lililoiba kura kt uchaguzi wa Oct 2020 nani yuko hai??
Jibu, jizi liliishaleftishwa
Ngoja nikuulize swali ? Mimi mgagaa na upwa machinga ... unadhani kwanini mpaka wakati huu namtetea MAGU
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Legasi ya watu kuuwawa?
Legasi ya wizi wa 1.5T?
Legasi ya kuporomoka kwa uchumi?
Legasi ya kupora fedha wafanyabiashara?
Legasi ya kumfilisi mbowe?
Legasi ya "Biashara ya utumwa" aka kuunga mkono juhudi?
Unadhani haya yote yangekua yake kungekua na sabb ya kutumia nguvu kumchafua?
 
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapimzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri yake.

Sasa sisi kama wapinzani tunatakiwa kupambana na hayati JPM au Ccm hii ya mama Samia.

Je tukikomaa kumchafua hayati JPM ndio tutafanikiwa kisiasa?

Nawakilisha mimi Kamanda Asiyechoka.
Palikuwa na haja gani sasa kusoma historia za akina Adolf Hitler. Hata kama wame wamekufa matendo yao maovu bado yanaishi na ni funzo kwa wanaoishi.

Kamwe maovu yao yanatakiwa kulaaniwa na kutumiwa kama mifano hasi. Duniani na mbinguni.
 
Back
Top Bottom