Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
woyoooo 😀 😀Kila mtu na vipaumbele vyake , mi wangu akijua kupika chapati ameniteka
sawaaa😀Mwambie ajifunze, Ugali ni chakula cha asili kwa mtanzania
asanteee😀Ukiona mwanaume anataka mtu anaejua kupika ugali kimbia, kimbia kama kasongo......
Ugali wa aina gani?Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke?
Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana mwenzi wake, ana heshima, anawajibika na ana malengo ya maisha vizuri tu, lakini hajui tu kupika ugali. Hilo ndo linatosha kumfanaya asiwe wife material?
Mimi naombeni maoni yenu tu wakuu. Je, kujua kupika ugali ni lazima kwa mwanamke anayetaka kuolewa hasa hapa kwetu Tanzania, au kuna mambo muhimu zaidi ya kuangalia katika ndoa?
Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke?
Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana mwenzi wake, ana heshima, anawajibika na ana malengo ya maisha vizuri tu, lakini hajui tu kupika ugali. Hilo ndo linatosha kumfanaya asiwe wife material?
Mimi naombeni maoni yenu tu wakuu. Je, kujua kupika ugali ni lazima kwa mwanamke anayetaka kuolewa hasa hapa kwetu Tanzania, au kuna mambo muhimu zaidi ya kuangalia katika ndoa?
nimecheka kwenye kutekwa na mpika chapatiKila mtu na vipaumbele vyake , mi wangu akijua kupika chapati ameniteka
wa kwangu awe tu na akili za kuvukia barabara!Kila mtu na vipaumbele vyake , mi wangu akijua kupika chapati ameniteka
secretarybird nimelia mnoKuna mashoga yanapika ugali kuliko wanawake nao basi wangeolewa, JE Kuna mwanamke humu anawapita hawa Kwenye kupika ugari secretarybird bullar Chizi Maarifa Stability Eli Cohen Financial Analyst na Kijakazi?
Achana na huyu mkalia misumari 😁secretarybird nimelia mno