Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

Yeah sema ukipata ile yenyewe, mafund wengi wanapigaga flat bila kuchanganyia zile metallic elements

Unajua wanafanyaje? Pearl white ni gharama mafundi wengi wanatumia white afu ule uji wake wanapulizia tena[emoji23][emoji23].

Nakumbuka wakt tunaenda na jamaa pale kamata, kwanza jamaa aliomba aone details/specifications za gari ili ajue namba ya rangi then ndo akaanza kazi.

Bongo fundi anakuwekea hata feki wengi hatujui magari tunajua kuendesha
 
Mie yangu wanamixigi na njano kwa mbali😂😂😂 inakuwa kama pearl ila sio ni feki! Bumper ndio lina rangi ya kijiti cha mpera sababu mara nyingi linaumiaga
 
Kwasababu wengi wanaorudia rangi wanapaka rangi ya kiwango cha chini ili mradi ling'ae auze. Kurudia au kupaka rangi nyingine sio mbaya kama utaweza rangi zenye kiwango. Gari ndogo tu rangi za kiwango inaweza kufika 2.5m au zaidi sasa imagine mtu anakuuzia gari ndogo 6m halafu kairudia rangi unafikiri atakuwa kapaka rangi yenye kiwango? Hapo miezi michache tu rangi inaanza kubabuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…